Live update: Simba SC va Azam FC

Live update: Simba SC va Azam FC

Kweli ni mmoja tu! Yulee ambaye rekodi yake ya kipigo alichotoa cha 5 -0 bado hakijalipwa!!Bwaa ha ha ha.

Wakati mnashangalia draw na Yanga Balantanda aliwawekea takwimu za kisomi mkampuuza, aliwaeleza wazi mechi zenu zinzofuata zote ni ngumu nyinyi mkampuuza mkaendelea kushangalia droo!

Sasa tulieni mnyolewe ili akili iwakae sawa.
 
Last edited by a moderator:
msimamo wa ligi
1. Azam points 23 michezo 11 kacheza
2. Simba points 20 michezo 11 kacheza
3. Mbeya city points 20 michezo 10 kacheza
4. Yanga points 19 michezo 10 kacheza
mechi kesho
Yanga vs mgambo
prison vs mbeya city
ikitokea yanga na mbeya city wakashinda SIMBA itaporomoka hadi nafasi ya 4
ligi ngumu kweli kweli
 
msiba msituni, mnyama kayeyushwa na lambalamba...hahaha
 
brave one unataka kubisha leo hakijanuka au?
 
Last edited by a moderator:
tupeni matokeo jamani mana viroba vinapoa mazee

Mkuu kunatatizo gani ukipiti michango ya wenzako?
1382977526057.jpg
Mia
 
Back
Top Bottom