TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
acha uongo kijana
Tunamtambulisha dirisha dogo.
acha uongo kijana
matokeo ya city na wajelajela yakoje?
mechi ijayo simba vs Kagera sugar hasira zote uku
Mwanaume ni mmoja tu.
Kweli ni mmoja tu! Yulee ambaye rekodi yake ya kipigo alichotoa cha 5 -0 bado hakijalipwa!!Bwaa ha ha ha.Mwanaume ni mmoja tu.
Ahsante Azam kwakuendelea kunitunzia heshima yangu nakunifanya nitembee kifua mbele utadhani nimepigwa gimi la mgongo.
Haya matokeo sijayapenda kabisa, mie nilitaka draw tu!
Mbeya city waache kuisafiria nyota.
Nadhani huko Tanga matokeo ya mwisho.
Coastal SC 2 - 0 Mtibwa
Baada ya pilika pilika za uchaguzi sasa tunarudi uwanjani.
Vinara wa ligi kuu Tanzania bara wekundu wa msimbazi Simba wanashuka uwanja wa taifa kupambana na Azam Fc leo jumatatu saa kumi jioni, mechi inatarajiwa kuwa kali ya kusisimua kwani kila timu inawania nafasi ya kuongoza ligi pia timu zote mbili hazijapoteza mchezo wowote msimu huu wa ligi.
Kikosi cha Simba kinachoanza leo
1. Dhaira
2. Willium lucian
3. Idrissa rajabu baba ubaya
4. Gilbert kaze
5. Joseph Owino
6. Jonas Mkude
7. Ramadhan singano
8. Said ndelma
9. Amis tambwe
10. Betram mombeki
11. Zahoro pazi
mechi itakuwa live TBC1
Mechi nyingine za leo
Coastal Union vs Mtibwa Sugar
Orjoro JKT vs Ashanti Utd
Ruvu shooting vs Kagera Sugar
UPDATE:
kikosi cha Azam FC
1. Mwadini ally
2. Erasto nyoni
3. Salum waziri
4. Said morad
5. Agrey moris
6. Kipre balou
7. Humfrey mieno
8. Sure boy
9. John bocco
10. Kipre tchetche
11. Joseph kimwaga
Simba 1 - Kipre Tcheche 2.