Live update: Simba SC va Azam FC

Kwani wee mwenzetu umetokea wapi? ulikua usingizini!!!? maana umekurupuka! Anyway,hao Azam watajifunza tu iyo fitina!Ngoja kwanza Simba ichukue kombe lao mwaka huu!!nafasi ya pili tutawaachia. Katambuga ajitahidi ya tatu ama akifanya masihara ataikosa hata iyo ya tatu!!!!
 
Kweli wakisawazisha simba lazima watafanya sherehe
 
Uwezo wa golikipa wa simba ni mdogo sana, ila defence ya simba ipo vizuri sana na nadhani simba wanamkumbuka sana kaseja
 
Simba ndembendembe. Punde wataanza kutafuta nafasi ya nne.
 

ndoto za mchana kweupe pe!
 
wakuu ngapi ngapi hapo:bump2::bump2::bump2::juggle:
 
Huyi kipre cheche kafunga goli ambalo hadi sasa nalitafakari. Huyu dogo balaa. Mia
 
Kibadeni anafanya SUB kama David moyes anainufaisha azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…