Live Update Simba S.C Vs JKT Oljoro

Full time:
Simba iliyokuwa imesheheni Ma'pro kibao 4 - JKT Oljoro iliyomaliza 8 ndani huku mchezaji wa ndani akienda kucheza nafasi ya Kipa 1
Hongereni Watani
 
Good day so far, ngoja tuangalie na kule St James Park mambo yataishaje
 
Ila TFF ni wapuuzi sana .. itakuwaje timu moja icheze mechi tano za nyumbani mfululizo
Kimtezamo ni mechi mbili 2 za ugenn,ya prison na ya oljoro,zilizobaki zote uwanja wao wa nyumbani ni uwanjan wa taifa,africa lyon,yanga,jkt ruvu na ruvu shooting zote uwanja wao wa nyumbani ni dar es salaam taifa.
 
ratiba ilitoka mapema kabla mechi azijaanza, mbona hakuna aliye hoji!!!!
Mkuu pamoja na hilo sioni la kulalamika, mfano hawa Simba baadaye watacheza mfulizo mechi nje ya Dar wakati sisi Yanga tutakuwa tukicheza Dar, na sioni cha maana Dar zaidi ya mapato, mpira siku hizi hauna cha nyumbani na ugenini la maana kanuni za mpira zizingatiwe ushindi utapatikana tu iwe Morogoro ama Dar hata Mbeya.
 
Kimtezamo ni mechi mbili 2 za ugenn,ya prison na ya oljoro,zilizobaki zote uwanja wao wa nyumbani ni uwanjan wa taifa,africa lyon,yanga,jkt ruvu na ruvu shooting zote uwanja wao wa nyumbani ni dar es salaam taifa.
Ile na yanga walikuwa ugenini ndo mana waliandika yanga vs simba
 
Full time:
Simba iliyokuwa imesheheni Ma'pro kibao 4 - JKT Oljoro iliyomaliza 8 ndani huku mchezaji wa ndani akienda kucheza nafasi ya Kipa 1
Hongereni Watani

Mkuu Anselm pamoja na kuchanganya unazi wako umejitahidi kutupa live updates. Ni kama nilikuwa uwanjani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom