Live Update Simba S.C Vs JKT Oljoro

Live Update Simba S.C Vs JKT Oljoro

Hakuna mkono wa maji hapo?maanake hzi lig za kibongo ni ful maajabu!
 
Hatari katika lango la Simba pale goooo la,la,la majeruhi "muumizwa sana" anatoa mpira kwenye chaki pale,loh
 
Hakuna mkono wa maji hapo?maanake hzi lig za kibongo ni ful maajabu!

Hakuna mkono wa mtu wala nini Kaitaba leo inatumika kwa shughuli gn sijui ya kitaifa hivyo kipigo cha Kagera wamekisogeza kesho
 
Kosakosa katika lango la Simba pale,goalkick
 
Hawa Oljoro wanavyoingiaingia pale golini hawakawii kusawazisha
 
Toto wanapata goli la pili kule mwanza.jkt ruv 1.
 
Ohoo mchezaji mmoja wa JKT Ruvu anapewa red card pale
 
Mibangi tena anapaisha,kweli bangi mbaya
 
Kwahiyo JKT Oljoro wako pungufu sasa
 
Ma'bibi na mabwana Simba Sports Club wanafanya sub nyingine,wamemuingiza Proffesiona mwingine anaitwa Daniel Akuffor akichukua nafasi ya Jonas Mkude
 
Sasa pale mbele Simba imesheheni ma'proo watupu(Sunzu,Okwi na Akuffor) dhidi ya wachezaji pungufu JKT Oljoro
 
Okwi aona mwezi hapa Taifa,anaiandikia Simba bao la 3
Simba 3 JKT Oljoro 1
 
Back
Top Bottom