Wanaioneaga sana Simba hawa. Yanga sasa kama watapita watakutana na wababe wao. Wangeepuka aibu leo leo wazuge. Ila JKU wanawatoa Yanga. Ndio wakombozi wa Zenji wanaocheza mpira unaoangalika.
Hivi kuna huyu mzee anavaa kofia nyeupe(baraghashee)ni nani?Mbona toka mashindano yameanza hajawahi kubadilisha nguo!Huwa yupo karibu na marefarii na timu zinapoingia uwanjani.