Live: Uefa Champions League draw

Hata Ballack kacheza fainali na nusu fainali nyingi sana....beba ile kitu yenye masikio wewe!
Suala hapa sio Ubingwa ninavyofahamu mimi ukisema Vibonde ni kumaanisha timu ambayo ni mteremko na wala haifiki huko kwenye fainali.
 
Group H: ARSENAL, Shakhtar Donetsk, SC Braga, FK Partisan: Duh naona safari hii tunaelekea ushokani tu? hizi sehemu na viwanja vyao vya plastiki na ukiangalia watot wetu miguu laini-laini?
 
Mambo yanaanza ndani ya wiki mbili na nusu. Good luck kwa kila timu.
 
Group H: ARSENAL, Shakhtar Donetsk, SC Braga, FK Partisan: Duh naona safari hii tunaelekea ushokani tu? hizi sehemu na viwanja vyao vya plastiki na ukiangalia watot wetu miguu laini-laini?
Bora KWELI umesema ukweli...!umeona mbali ehh?
 
amazing the best player of UEFA CL hakupata nafasi ya kung'aa woza 2010
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom