Natamani hizi biblia takatifu na quruan tukufu zingekuwa zinawaunguza wizi uzandiki, na uchawiuchawi ndio siasa za afrika walaaniwe wote wanaovitia vitabu vya mungu unajisi.
Nilishangaa kusikia huyu mjamaa kapewa unaibu
Iwapo Dr.SLAA ndo angekuwa Rais, hapo ungesikia majina ya mawaziri kama, josephine , joyce mukya, kileo, yericko, ben masumu, lema, mbowe, mnyika,sugu.
wizara ya elimu ni sawa na kutoa mlango na kuweka pazia ili kuzuia wezi. Inaudhi kwa elimu yetu.
Heri yako! Me hapa BP juu!
bora muhongo, jenista wakati anakula kiapo amepatwa na stuckness, kaanza kusoma kiapo cha pili badala ya kile cha kwanza then cha pili: Yaleyale ya muhongo na tanganyika na zimbabwe kuungana kuform tanzania
Wizara ya elimu ni sawa na Kutoa mlango na kuweka pazia ili kuzuia wezi. Inaudhi kwa elimu yetu.
bora muhongo, jenista wakati anakula kiapo amepatwa na stuckness, kaanza kusoma kiapo cha pili badala ya kile cha kwanza then cha pili: Yaleyale ya muhongo na tanganyika na zimbabwe kuungana kuform tanzania
Iwapo Dr.SLAA ndo angekuwa Rais, hapo ungesikia majina ya mawaziri kama, josephine , joyce mukya, kileo, yericko, ben masumu, lema, mbowe, mnyika,sugu.
muhongo....? Or mlugo....asee..
Muhongo....? or Mlugo....asee..
we weee kijana wewe hivi ni muhongo au yuke kilaza mulugo ndio alichanganya madesa
halafu kaongea kwa kujiamini huyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ndo hao hao anyway, but nam-refer mlugo
Cha ajabu wakikiuka viapo vyao hakuna hatua wanayochukuliwa!
Hii awamu bora ipite!
Hivi Salary Slip wewe uko chama gani? CHADEMA au CCM? Ulifanya niamini kama ulikuwa CDM vile?
Now, I am confused!!! Au ni adui from within!