incognintum
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 236
- 122
Madereva wameandaa sherehe ya kumuaga Rais kikwete ubungo Plaza live TBC Now.
HeheheheHao madereva wameandaliwa,mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda
Madereva hawamuagi JK,
It is the reverse... CCM wameandaa watu wajikusanye ionekane ni madereva wanamuaga JK, ni mbinu ya CCM kujiona ina ukaribu na wananchi
Nasubiri atakapoaga wasomi pia
Madereva wameandaa sherehe ya kumuaga Rais kikwete ubungo Plaza live TBC Now.
Angalia TBC ndugu wameandika sherehe ya kumuaga Rais kikwete sasa wewe unasema mkutano umeyatoa wapi hayo? Acha kupotosha kishabiki, naangalia hapa naona Madereva wamechoka kwa voroba, posho waliambiwa elfu kumi wamepewa elfu tano sherehe inataka kuharibika ni zogo, sogelea TV Upate ukweli achana na watu wa propaganda.
hahahahah madereva hawa hawa waliokua wanagoma kila wiki!!!?
Kwa hiyo hata alipoagana na wasanii ccm iliwaleta wasanii wa kununua?