Live: Stars, Simba vs Wapinzani

Eeeh Mungu saidia vijana wetu.dah simba wakaze zaidi. Na hawa manyara tuamke turudishe
 
Simba wanakosa goli la wazi kabisa, mgosi alikuwa yeye na golikipa akafanya mbwembwe za chenga, defenda akamwahi. Simba wanaonekana kujaribu kushambulia. bado moja-moja.
Mungu mkubwa akisema liwe goli hakuna wakuzuia!!!
 
Simba wanafanya mashambuizi ya nguvu golini mwa Motema. Hata hivyo finishing ni tatizo. Kipa wa Motema amefanya kazi ya ziada dk ya 29 kuokoa mkwaju wa mgosi kutoka mita 20 hivi.
dk ya 33 bila-bila.
 
Hv wengine wanaangalia mpira gn??? Simba mara moja moja mara mwingne anasema bila bila. Tusipeane presha zisizokuwa na msingi jmn
 
Hv wengine wanaangalia mpira gn??? Simba mara moja moja mara mwingne anasema bila bila. Tusipeane presha zisizokuwa na msingi jmn
usichanganye bangi
hapa kuna mipira miwili ata the same time
vijana stars vs nigeria 0-0
mnyama vs mcheza bolingo 0-0
 
Tumefungwa goli. Motema 1, Simba 0, dk ya 38.
Ulikuwa mpira wa adhabu karibu na kona, ukawapita walinzi wa simba, forward wa Motema akafunga kwa kichwa.
Kaseja alijitahidi sana lakini wapi.
 
Simba wanakosa goli la wazi kabisa, mgosi alikuwa yeye na golikipa akafanya mbwembwe za chenga, defenda akamwahi.
Simba wanaonekana kujaribu kushambulia. bado moja-moja.

Kishongo unawapa watu Presha zisizo na msingi wengi wanafikiria Simba ndio moja-moja sasa hapo umemaanisha Vijana under 23 sio ndio 1-1?
 
Dah midomo michafu bwana utaijuwa siku zengine muwe mnaombea duwa nzuri bwana sasa ndio imekuwa 1-1.
 
2nd Half...............Nigeria 1 Tanzania 0

47Tanzania come close again, Ulimwengu(who else) gets goal side of Ajiboje but the keeper saves with his legs.
46Second half is underway. Nigeria is lead 1-0 from the first half. No changes to report. First chance falls Tanzania's way but it is wasted.
 
48Free kick to Nigeria. Oduamadi is fouled. Haruna takes the free kick but it is too deep. Obiorah Nwankwo complains loudly that the captain took the wrong option...the Parma Man was screaming for the pass
47Tanzania come close again, Ulimwengu(who else) gets goal side of Ajiboye but the keeper saves with his legs.
46Second half is underway. Nigeria is lead 1-0 from the first half. No changes to report. First chance falls Tanzania's way but it is wasted.
 
Back
Top Bottom