Live SIBUKA vunja mbavu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live SIBUKA vunja mbavu!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jul 5, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,210
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Jamani kwa anayetaka kuvunja mbavu!
  Ile movie ya vichekesho ya Shauri soccer ipo hewani!
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,210
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Yani mpira ukipigwa shuti la mnazi wachezaji wanacheza bao wengine goroli na wengine wanaongea na simu
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  du kazi kweli hii sibuka ipo nchi gani..
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,210
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Nchi hiihii ya sharobalo wa Musoga! Kwa wale wenye decoder ya star times wanaweza kupata bila chenga!Yani kwakweli hata kama unamawazo kwa hii picha yanatoweka! Mchezaji kaingia na spana na nyundo uwanjani!!
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,744
  Trophy Points: 280
  mitaa ya kwa kaka shibuda
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,210
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Yani refa anatoa kadi mchezaji anainyang'anya!!
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,210
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Penati inapigwa golikipa anaongea na demu wake!!
   
Loading...