Live premiership: Arsenal vs Newcastle

Nauangalia sina hata pressure :). Kushinda kuna raha yake!
 
Mpira umeisha tumeshinda 3 bila naona ligi ndo tumeianza...kushinda kuna raha yake jamani
 
Last edited:
Nimefurahishwa sana na Nasri katika mechi tatu zote za ligi ameonyesha kiwango,hana woga na anaunganisha timu vizuri,tatizo huyu ni attacking midfield na kwa sasa hatuna DM tunahitaji DM kama mbili,
Hivi huyu Wenger kutwambia tutegemee maajabu!! yepi? (kikongwe Vieira anarudi arsenal!!)
 
Mpira umeisha tumeshinda 3 bila naona ligi ndo tumeianza...kushinda kuna raha yake jamani
Kamanda,
Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kufungua bandiko jipya kwa timu ya Asenali? Kuna bandiko la Asernal ambalo lipo hapa zaidi ya mwaka mmoja!! kwa nini usiweke bandiko hili katika thread hiyo`?
 
I also watched the game, it was a very good game technically I could simply say the game was flamboyant. How ever I was bored by these local commentators (although during Arsenal game they were Lamentors) who were at TBC1, first; they are very average in terms of analysing the game, it was like they were repeating to to tell us what we have seen. Second; biaseness, they are not objective, how on earth a backheel pass being captioned childish play? While the same thing if done by Ronaldo or Tevez the same commentators baptize it as a magnificent piece of play! Now I understand why do most Tanzanians football lovers like Dr. Leakey, the man is objective!
 
Kamanda,
Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kufungua bandiko jipya kwa timu ya Asenali? Kuna bandiko la Asernal ambalo lipo hapa zaidi ya mwaka mmoja!! kwa nini usiweke bandiko hili katika thread hiyo`?

Nimekusoma kamanda...nilipitiwa mkuu si unajuwa mambo ya raha ya ushindi Mwanawane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom