wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali hapa tanzania wameingia katika kashfa nzito ya kifisadi baada ya kudaiwa kupokea ruhswa ili kumlinda kiongozi wa upinzani bungeni freeman mbowe.
Inasemekana mbowe hivi karibuni alinusurika kukamatwa na makachero wa kimataifa huko mombasa kenya alipokwenda kufuatilia mzigo wa dawa za kulevya biashara ambayo amekuwa akiifanya kwa miaka mingi na kununua nyumba huko dubai kabla ya kujiingiza katika siasa ili kuficha uovu wake huo ambao umeangamiza vijana wengi afrika ya mashariki.
Inasemekana baada ya kupata taarifa kutoka kwa washirika wake walioko dubai ya kuwa mawasiliano yake huko mombasa yamenaswa na kwamba atakamatwa wakati wowote, mbowe alikimbilia nairobi na kumuacha dereva wake na mwanamke mmoja na makachero walipofika walimkuta kiongozi huyo wa upinzani wa bunge ametoweka.
Inasemekana mbowe na washirika wenzake walikuwa wakifuatilia mizigo yao ya dawa za kulevya ambazo huwa inakuja kwa pamoja kwenye meli na kisha kila mtu kuchukua wa kwake. Ikumbukwe siku chache baada ya gari la mbowe kukamatwa huko mombasa pamoja na dereva wake, shehena kubwa ya dawa za kulevya zilikamatwa huko huko mombasa.
Hali hii ilipelekea wapambe wa mbowe ambao tayari walikuwa wanajuwa kutafutwa kwa kiongozi huyo wa upinzani bungeni kuanza mbinu za kumsafisha kwa kuficha kashfa hiyo nzito na ndiyo maana vyombo vya habari vingi vya tanzania havikuandika zaidi ya gazeti la nipashe ili kumsafisha kwamba hakuwa mobasa bali allikuwa nairobi.
kashfa ya wahariri hii hapa
baada ya wahariri mbalimbali kuitikia wito wa mhariri wa nipashe jese kwayu ambae tayari inasemekana amempiku tumaini makene ktika nafasi ya mkurugenzi wa mawasiliano wa ikulu kwenye serikali ya chadema, ilikubaliwa ya kuwa wahariri wote ambao watakuwa katika safari yao inayofadhiliwa na tanapa watalipwa ujira wao wakati wa safari hiyo ili kuondoa mashaka iwapo watakuwa wanafuatiliwa.
kwa sababu hiyo basi jese kwayu na nevil meena wakala njama ya kuhakikisha mkutano wao unafanyikia katika hoteli inayomilikiwa na mbowe ya aishi iliyoko nyumbani kwao machame ili iwe rahisi kwa wahariri hao kupata ujira wa kuficha kashfa ya madawa ya kulevya ya kiongozi upinzani bunge la tanzania pamoja na kwamba biashara yake hiyo inawaangamiza vijana wengi.
Kashfa hiyo ya meena na kwayu imefichuka baada ya baadhi ya wahariri hao kugundua ya kuwa kwayu na meena walipewa shilingi milioni tano ikiwa ni za kuhakikisha kwa vyovyote vile mkutano huo unafanyika katika hoteli ya mbowe kama ilivyotokea.
mbowe pia imeelezwa alipokuwa mombasa kabla ya kukimbilia nairobi kukwepa mtego wa makachero, alikwenda kuhani nyumbani kwa kiongozi wa abubakari makaburi aliyeuwawa huko mombasa miezi kadhaa iliyopita. Ikumbukwe ni abubakari huyuhuyu ambaye jf iliandika habari zake mwaka jana ya kuwa alionekana akivuka mpaka wa kenya na tanzania huko holili muda mfupi baada ya bomu kulipuka kanisani arusha tena akisindikizwa na kiongozi wa mmoja wa chadema alietumia gari lake.
Ikumbukwe pia jf iliandika habari za chadema kuanzisha kikundi cha vijana waliojifunza kupigana vita huko mombasa kwa lengo la kutaka kuiangusha serikali ya kikwete kwa kutumia maandamano waliyokuwa wakiyafanya nchi nzima tena wakati raisi hayuko nchini.
Inasemekana kuwa kufuatia kashfa ya mbowe huko mombasa ya madawa ya kulevya, tayari baadhi ya viongozi wa chadema haswa vijana walishaanza kampeni madhubuti ya kumuondoa mbmowe kwenye wadhifa wake huo kabla chama hicho hakijaanza kufuatiliwa na nafasi yake ichukuliwe na tundu lisu.
Taarifa zaidi zinasema kuwa mbowe na watu wake wengi wao wakitokea mkoa wakilimanjaro wamejizatiti kupitia vikao vyao vya siri kuhakikisha mbowe anabaki madarakani na siri hizo zisivuje kabisa inasemekana kuna hatari ya hata watu kupotezeana maisha.
Baadhi ya vijana wamesema wako tayari kuhakikisha chadema inajitoa ukawa kwa vile mbowe aliuanzisha ili kujenga nguvu mpya kwa kuhsirikiana na wapinzani wengine baada ya kashfa mbalimbali zinazomkabili kuonekana kutishia hatima yake kisiasa ndani ya chadema.
tukirudi kwa wahariri ni wazi kabisa kwa namna hii ni ukweli kabisa ya kuwa hatuna vyombo vya habari vinavyoweza kutuandikia tena habari za uhakika kama waliweza kuficha uovu unahusiana na madawa ya kulevya ambayo yanaangamiza vijana wengi sana.