Qm na wewe unakuwa slow...anyways hii kitu anajua GQ atakuja kumalizi mwenyewe....wee unaongelea ile club ya south side karibu na 60 something?...wanakuwaga na stripper sa nyingine..kuna this one time rafiki zangu walikuwa wanataka kutoka kila club dt ilikuwa imejaa wakati ule ilitokea ile soo ya ile club watu wakaumia sana (nimeshasahau jina la club duh nakuwa na short memory siku hizi) anyways nikawaambia kuna this club south side nikawapeleka bwana kulikuwa na stripper siku hiyo oloo mademu wacha waanze kupiga kelele na kutaka kuondoka kumbe nilisahau siku hiyo nilitoka na "bwana asifiwe"...
Yeah ndo hiyo hiyo. Nakumbuka enzi za ujana, mimi na mshikaji wangu (you know who), tulikuwa tunaanzia Wild Hare, halafu tunakwenda kwenye ile Club ya South Side, na mwisho tunamalizia kwenye basement moja hivi huku huko South Side kwenye party ya wa-Belize. Sijui kwa nini uzee umeingia haraka hivi.....gademu!!
Qm Kama umekaa chicago basi utakuwa 3 of the people i know walikuwa chicago na sasa wamehama....hahaha kama siyo A utakuwa B na hawa wote walikuwa wana hang na M though M karudi Bongo....Maana these 2 walikuwa watu wa kujirusha.
Ha ha haa I guess inabidi niondoe "you know who" kwa sababu nilifikiri unajua, kumbe hujui....
Hapana mimi sio A, B, wala M.
Ooh well basi wewe inaelekea hujakaa chicago ila unakujaga kutembea maana mimi mayor wa chicago ungekuwa unaishi hapa ningekujua for really..
NN no you didn't just ask for that song...lol
GQ una zile debe mbili za Monie Love - It's shame, born-to-breed, na Monie in the middle?
whats wrong with it?