Live:NASA Live - Earth From Space (HDVR) ♥ ISS LIVE FEED

Kuna channel yao nyingine inaonesha ni usiku, sasa sijui ni kwa sababu ya cache.
Huyo ni kweli, pale Johnson space centre (houston) wanaonyesha live kabisa, dakika 15 wanamaliza mzunguko wa Dunia.
 
Ni kwel ipo mpk ISS live ukitaka unaenda yuotube utaiona tu,kuna mambo makubwa sana hawa jamaa wanafanya ila sie mara nyingi ni kupinga tu wakat hao jamaa WAPO LIVE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…