figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,686
- 59,187
- Thread starter
- #41
nape anasema:
naunga mkono watu wawajibike kisiasa. tusisubili watu waanze kukuzomea barabarani.
mahakama ya kadhi watu wanapotosha. tulisema tutatafuta ufumbuzi wa kuhusu mahakama ya kadhi. irani yetu ilisema tuanzishe mjadala wa kadhi na huu ndo msimamo wa ccm. hii imedumisha amani.mjadala wa mahakama wa kadhi isiugawe umoja wetu. serikali iendelee kutokuwa na dili. wakatoriki wana mahakama haulipiwi na serikali na waislam waanzishe wa kwao kidini. wanayo yafanya yasivunje sheria ya nchi. mia