Live: Mukama on Mlimani Tv

haina mashiko tena!
bora alime mchicha,karoti na pilipili hoho atavuna kuliko magamba
 
Mtujuze maana mi nimetune ITV kuna malumbano ya hoja juu ya mswaada wa uundwaji wa katiba mpya.kuna Nkya na Bubelwa kwenye meza kuu.laikini anayoyasema mkama ni maandalizi ya mkutano wa NEC dodoma hivyo wanajaribu kuivuta jamii.
 
Back
Top Bottom