nipo uwanjani elo jamani... Sasa hivi ni half time..
Tumewakosa kosa mara kibao..simba wana kadi mbili .simba wamepiga mashuti kibao sema ndio tumeshindwa kupata magoli.. Simba wanacheza kwa maelekezo ya walimu wanacheza vizuri sema mabeki central wanazingua sijaona penentration pass zikipigwa hapa ...foward leo ni butu inakatika hawapo makini labda kwa vile boban hayupo so lolote laweza kutokea kipindi kijacho.
Wanatakiwa watulie
Kaseja katoa magoli mawili ya wazi anatumia eneo lako vizuri, kaseja anajua sana.......