LIVE: Mei Mosi Samia anaunguruma mda huu

Hakuna anayefuatilia
Sio kweli. Acha uongo!
CHADEMA ndio wafuatiliaji wakubwa wa Samia tena neno kwa neno. Subiri amalize hotuba uone mtakavyokuja kuripoti humu, all negatively. Unless asikosee.
 
Maisha yameshapanda Bado anakwama kwenye mishahara ile ile.
 
Maisha yameshapanda Bado anakwama kwenye mishahara ile ile.
POleni sana. Nimesikia kisimgizio uchaguzi umekula pesa za ndani. Swali la kujiuliza hakukuwa na bajeti ya maswala ya uchaguzi mpaka kuathiri mambo mengine? Nchi masikini zikikumbwa na kitu kidogo tu Kila kitu kina cease.

Fikiria wababe wapo vitani na mambo yanaenda. Ukraine Iran Israel Iran USA Russia
 
Mimi sio mtumishi .ni ajira binafsi .labda uwape pole walimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…