LIVE: Maadhimisho ya Miaka 50 ya Chuo kikuu cha Dar es salaam

Chuo 225000,ukifika kitaa gross 250k hapo lazima utachanganyikiwa tu.haya maisha we yaache kama yalivyo.
 
Wengine walisoma "Academia" toka vidudu wakilipiwa ada zaidi ya milioni 1 kwa term lakini leo nao wanabeba mabango wanataka mkopo "eti leo hii hawawezi kulipia ada ya chuo".,inabidi bodi ya mikopo ijizatiti sana ili kujua ni nani mhitaji wa kweli na ni nani magumashi tu.
 
Back
Top Bottom