wangefanyia mkutano pale uwanja wa kimandolu tindigani kwani napo ni pakubwa sana kuliko wa nmc. M4c ni dini ar
Kwa iyo kumbe serikali inashindana na CDM???Mkandarasi yupo site anapiga kazi balaa, vibarua wake wanajitaid kuweka uzio wa senyenge uwanja mzima, greda na makatapila yanatamba uwanjani. Vifusi vya mchanga na moram vinaingizwa na malori zaidi ya kumi. Hapa leo serikal imechukua pointi 3 dhidi ya Cdm.
Kwa iyo kumbe serikali inashindana na CDM???
Kujaribu kuzuiya nguvu ya chadema ni sawa na kuukinga mshale kwa kutumia kipande cha shuka.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
nashauri mkutano ufanyikie mianzini.barabara ikijifunga ndio waonyeshe pa kufanyia mkutano.
Viwanja ni vingi sana Arusha...Kujenga eneo la NMC hbakutazuia kitu...Hata Kwa Mrombo sokoni tutaenda!
Kutoka hapo NMC, M4C itahamia kule Masi camp kuna uwazi mkubwa wa kutosha. Lakini pia upo uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Auvuko uwazi mwingine kule Sorenyi eneo la baraa. Huwezi kuyazuia mafuriko kwa kuyakinga na khanga.