Live:hali katika vituo arumeru shwari

Status
Not open for further replies.
Hiki ni kituko cha mwaka, unagombea katika jimbo ambalo huwezi kujipigia kura!! Hapo nina uhakika hata wizi wa kura utaDONT ili kulinda heshima ya wana Meru

Mkuu ukistahajab ya mussa utaona ya firauni katika familia ya marehemu sumari ni yeye peke yake ndiyo alikuwa amejiandikisha arumeru.pata picha!
 
komba,umeshawaza kwa nn huu uchaguz mdogo hivi wameleta FFU pekee,na wapo kupita kiasi.kuna amani kweli,naogopa hata kwenda misele
 
Ndugu yangu naona umeamua kuripoti kwa mahaba mazito angalizo jioni ya leo usije na kauli tofauti, wapiga kura wenyewe hata laki moja na nusu hawafiki 80,000 ni CCM. endelea kuwajaza wenzako matumaini.

Danganya wapumbavu sio sisi. Mimi jana nimezunguka kuanzia Kingori hadi Shangarai karibu na daraja la mto Nduruma kuangalia upepo. kusanyiko kubwa nilikuta pale Tengeru na leganga nalo ni la wana CHADEMA tu pale Kingori ndo nilikuta bendera za kijani kwenye miti na kidogo pale kikatiti lakini kuanzia Maji ya Chai, Usa mjini, Leganga, makumira mpaka Tengeru sikukutana na kitu cha kijani bali vijana wengi wa CDM na almost kila pikipiki kuanzia usa hadi Kwa ngulelo zilikuwa na bendera za CDM na hamasa ilikuwa kubwa kama watu wanaosubiri ujio wa kitu wakipendacho kwa hamu. Ninayosema nimeona mimi kwa macho yangu.

Usijifariji ndugu jimbo limeondoka hilo acha siasa za kujipa matumaini.
 
Chonde chonde mkuu utujuze matokeo fasta!

Naomba niripoti taarifa ambazo nimepata kutoka katika kata 3
1.Katika kata ya nkwarua hali inaoneka si shwari kwa ccm baada ya wazee kukata shauri,
2.katika kata ya leguruki kuna mifuko minne imekamatwa na wananchi ambayo inakura ambazo zimeshapigwa.
3. Katika kata ya seela ushili hali ni shwari watuwanaendelea kutimiza haki yao ya msingi
Nawasilisha.
 
komba,umeshawaza kwa nn huu uchaguz mdogo hivi wameleta FFU pekee,na wapo kupita kiasi.kuna amani kweli,naogopa hata kwenda misele

Usiogope mkuu we nenda kapige misele hata hao FFU ni chadema magwanda yao ndiyo ccm coz hata wao wanapigika kama kawa na cdm ndiyo watetezi wao wakuu.kamanda sillo na mateo basilo walionyesha hilo kwa vitendo
 
Sasa hivi unashughuli maalumu!!!
Mwigulu kakosa wake za watu arumeru, ameamua akushughulukie wewe!!

unajipambanua kwa thread yako aka lusinde yote mtasema mwaka huu rangi zote utaona!
 
Danganya wapumbavu sio sisi. Mimi jana nimezunguka kuanzia Kingori hadi Shangarai karibu na daraja la mto Nduruma kuangalia upepo. kusanyiko kubwa nilikuta pale Tengeru na leganga nalo ni la wana CHADEMA tu pale Kingori ndo nilikuta bendera za kijani kwenye miti na kidogo pale kikatiti lakini kuanzia Maji ya Chai, Usa mjini, Leganga, makumira mpaka Tengeru sikukutana na kitu cha kijani bali vijana wengi wa CDM na almost kila pikipiki kuanzia usa hadi Kwa ngulelo zilikuwa na bendera za CDM na hamasa ilikuwa kubwa kama watu wanaosubiri ujio wa kitu wakipendacho kwa hamu. Ninayosema nimeona mimi kwa macho yangu.

Usijifariji ndugu jimbo limeondoka hilo acha siasa za kujipa matumaini.

Mwache Thomaso wapo wengi....mpaka scorebord isome ndo atabaki kinywa wazi.
 
Nimefurahishwa na mwamkoa wa wananchi katika kujitokeza kutumia aki yao ya msingi nikiwa miongoni mwao.nimefurahishwa na jinsi vijana wanavyoamasisha wenzao kwenda kupiga kura.
Nimetembelea zaidi ya vituo viwili achilia kituo changu hali ni shwari kila mtu yupo makini na kazi yake.
Big up tume vijana wapo shap nimetumia chini ya dakika tano kuakiki jina na kupiga kura.
Magari ya polisi yanarandaranda mitaani .
Stay tune...

Maeneo ya tengeru na sing'isi yapo shwari watu wanafanya kweli bila woga wowote,
Nawasilisha
 
komba,umeshawaza kwa nn huu uchaguz mdogo hivi wameleta FFU pekee,na wapo kupita kiasi.kuna amani kweli,naogopa hata kwenda misele

Kamanda andengenye aipatiza CDM jina jipya eti Chama cha Demokrasia na Maandamano!ulimi auna mfupa!
Shame on you andengenye
 
Mkuu ukistahajab ya mussa utaona ya firauni katika familia ya marehemu sumari ni yeye peke yake ndiyo alikuwa amejiandikisha arumeru.pata picha!
Hawa jamaa inaonekana wana mpango wa kufuata uraia wa mama yao, huenda ndio wanaompa pressure Membe (Joka la Mdimu) aruhusu uraia wa nchi mbili. Wako kimaslahi zaidi
 
Nimefurahishwa na mwamkoa wa wananchi katika kujitokeza kutumia aki yao ya msingi nikiwa miongoni mwao.nimefurahishwa na jinsi vijana wanavyoamasisha wenzao kwenda kupiga kura.
Nimetembelea zaidi ya vituo viwili achilia kituo changu hali ni shwari kila mtu yupo makini na kazi yake.
Big up tume vijana wapo shap nimetumia chini ya dakika tano kuakiki jina na kupiga kura.
Magari ya polisi yanarandaranda mitaani .
Stay tune...

Wanabodi naomba niwakumbushe idadi ya kata na vituo
1. Akheri-20
2. Kikatiti- 18
3. Kikwei-11
4. King'ori-26
5.leguruki-20
6.Makiba-18
7.Maji ya chai-29
8. Maroroni-17
9.Mbuguni-21
10.Ngarenanyuki-20
11. Nkoanrua-22
12. Nkoaranga - 17
13. Nkoarisambu - 8
14. Poli - 16
15. Seela-sing'isi -12
16. Songoro - 15
17. Usa river - 26
Jumla ya vituo vya kupigia kura ni 327.
Naomba kuwasilisha samahani kwa wale wanaokereka.
 
Shukurani kwa taarifa mzee na matokeo pia jinsi yatakavyokuwa yanatoka pia 2juze ila msituangushe
 
Mkuu kuna jamaa mmoja amekaa karibu na kituo chakupigia kura Usa river anawatisha vijana kuwa wote walikipigia kura CDM watakiona cha motto!
Mytake:kura ni siri ya mtu na haki ya msingi hivi vitisho vinatoka wapi?
hamna wana usalama wa cdm hapo karibu ndugu yangu wamchukulie ha2 huyo jamaa
 
Kamanda andengenye aipatiza CDM jina jipya eti Chama cha Demokrasia na Maandamano!ulimi auna mfupa!
Shame on you andengenye

Hata mie nimemsikia kupitia ITV wakimuhoji kuhusiana na uchaguzi mdogo live...kwa kweli amenisikitisha amejidai kama ni kuteleza kwa ulimi ila ni makusudi na kuwa na kamanda wa aina hii ambae wana Arumeru wanategemea atende haki kwakweli ni janga na binafsi sina imani nae kabisa hata tone...wana Arumeru kuweni imara na kamwe msikubali kudhulumiwa haki yenu yakumpata mbunge mnayemtaka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom