Live:hali katika vituo arumeru shwari

Live:hali katika vituo arumeru shwari

Status
Not open for further replies.

KOMBAJR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
5,827
Reaction score
1,276
Nimefurahishwa na mwamkoa wa wananchi katika kujitokeza kutumia aki yao ya msingi nikiwa miongoni mwao.nimefurahishwa na jinsi vijana wanavyoamasisha wenzao kwenda kupiga kura.
Nimetembelea zaidi ya vituo viwili achilia kituo changu hali ni shwari kila mtu yupo makini na kazi yake.
Big up tume vijana wapo shap nimetumia chini ya dakika tano kuakiki jina na kupiga kura.
Magari ya polisi yanarandaranda mitaani .
Stay tune...
 
Kila la kheri wapiga kura Arumeru East msitu-let down.
 
Mkuu tujulishe juu ya malalamiko niliyoyasikia toka wapo radio fm 98.00 kupitia kwa mtangazaji wake anton joseph akimuhoji nasari kuwa mawakala wa cdm km wa vituo 6 ivi walizuiwa kuingia vituoni, vipi ili tukio limejitokeza pia apo au kuna unalolijua??
 
There you are bring the news.

Mkuu kuna jamaa mmoja amekaa karibu na kituo chakupigia kura Usa river anawatisha vijana kuwa wote walikipigia kura CDM watakiona cha motto!
Mytake:kura ni siri ya mtu na haki ya msingi hivi vitisho vinatoka wapi?
 
Kila la kheri wapiga kura Arumeru East msitu-let down.

Mkuu huku mambo yanakwenda shwari kabisa vijana wameamasika sana na watu wanashindwa kujizuia wanaonyesha furaha baada ya kutizima haki yao ya msingi.
Stay tune
 
Mkuu tujulishe juu ya malalamiko niliyoyasikia toka wapo radio fm 98.00 kupitia kwa mtangazaji wake anton joseph akimuhoji nasari kuwa mawakala wa cdm km wa vituo 6 ivi walizuiwa kuingia vituoni, vipi ili tukio limejitokeza pia apo au kuna unalolijua??

Hilo nimelisikia pia mkuu,najaribu kufuatilia kwenye source ya uhakika.
 
am online, vipi yule muuaji wa baba wa taifa yupo?
 
hilo nimelisikia pia mkuu,najaribu kufuatilia kwenye source ya uhakika.

thanks alot kombajr, nawatakieni kila la kheri na matarajio yenu yatimie,
as usual tumeanza na mungu na tumemaliza na mungu, eh mola wabarik wana arumeru na watanzania kwa ujumla
 
Mkuu hakikisheni matokeo yanajulikana mapema iwezekanavyo!! Yakichelewa, basi tusahau tena hadi 2015.
 
Mkuu hakikisheni matokeo yanajulikana mapema iwezekanavyo!! Yakichelewa, basi tusahau tena hadi 2015.

Wakati jeshi la ardhini wakifanya doria na magari chopa ya CDM ipo hewani kwa doria.
Hatoki mtu leo ni mwendo wa nakozi ya pua tu!
 
Wakati jeshi la ardhini wakifanya doria na magari chopa ya CDM ipo hewani kwa doria.
Hatoki mtu leo ni mwendo wa nakozi ya pua tu!

Ndugu yangu naona umeamua kuripoti kwa mahaba mazito angalizo jioni ya leo usije na kauli tofauti, wapiga kura wenyewe hata laki moja na nusu hawafiki 80,000 ni CCM. endelea kuwajaza wenzako matumaini.
 
Mkuu kuna jamaa mmoja amekaa karibu na kituo chakupigia kura Usa river anawatisha vijana kuwa wote walikipigia kura CDM watakiona cha motto!
Mytake:kura ni siri ya mtu na haki ya msingi hivi vitisho vinatoka wapi?
Inakuwaje mtu anatishia wapiga kura halafu anaachwa hivi hivi? Huo ni uvunjifu wa sheria. Ccm hii ya Kikwete wako tayari kuua au kuona wananchi wanakufa ili mradi wapate ushindi. Roho kama hiyo alikuwa nayo pia Iddi Amin Dada na Mobutu Sese Sseko hapa Afrika. CCM wameishafika huko kwa tamaa ya madaraka waliyonayo
 
Kila la kheri wapiga kura Arumeru East msitu-let down.

Kundi la vijana wa ccm ambao siyo wakazi wa arumeru mashariki wanataka kuvuruga amani kata ya maji ya chai!
Aibiwi mtu leo
 
Ndugu yangu naona umeamua kuripoti kwa mahaba mazito angalizo jioni ya leo usije na kauli tofauti, wapiga kura wenyewe hata laki moja na nusu hawafiki 80,000 ni CCM. endelea kuwajaza wenzako matumaini.

Una mahaba na CCM kama TBC1 na magamba mwisho wenu umekaribia.
 
Shukrani. Ni matumaini yetu utakuwa na nguvu/uchangamfu huo huo kutuletea matokeo..... hata kama ni kinyume na matarajio yako.

endelea mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom