Live from turkey | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live from turkey

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BLUE BALAA, Feb 8, 2012.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hi Mentors still in Istanbul and will get you guys full report in terms of Economic position, Social, Political and of coz the opportunities.
  I know you mentors know how potential Turkey is but let me tell you the highlights so far

  A. Back ten years Turkey was same to TZ almost in every angle BUT NOW TURKEY IS

  1. Best Airline Company in Europe
  2. 200 universities - 80 owned by state and the rest are private
  3. Per capita income rose from $2000 to $15000 within 15 years
  4. No beaurocracy
  5. No 5 country in manufacturing construction material in the world
  6. Every day there are 3 million people coming in and go out
  7. Tourists target for this year is 30 million if you wish to compare to TZ we aim at 1m

  Hizo ni data nilizo collect leo lunch tu, subiri nitakupa zaidi
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu

  hongera kwa kufika salama, pili ulipotea sana hapa jamvini au ndiyo ulikua unakokotoa mambo, tatu ile project ya tourism inaendeleaje ? je utatembelea Ankara pia

  enjow shwarma
   
 3. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  LAT vipi aisee, ni kweli nimepotea sana, have been extremely tight with my project proposal, have been constructing it for almost a year at least things are looking up now. Anakara nimeplan kwenda ila sijui kama nita manage.

  Still one with the tourism project proposal trying to showcase to big sharks as from 24th Feb will be in Adelaide and Brisbane South Australia. Ndugu riziki ya mbwa iko mguuni mwake.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,462
  Likes Received: 19,839
  Trophy Points: 280
  10 yrs?.......
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  BLUE BALAA

  great and God grace you, i will contact you

  kama utafanikiwa kufika ankara kuna mzee mmoja rafiki yangu yeye ni architect,

  wish you success on your trip
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu umesahau kuwa Turkey ndo Ottoman empire, huwezi kuilinganisha na Tanzania. Turkey ilirudishwa nyuma na dini hasa baada ya Atarturk kufa maana yeye ndiye aliweza kutenganisha serkali na dini na akasema waziwazi kuwa Uislam na maendeleo haviendi pamoja (they are incompatible) wapo waturkey ambao bado wanamheshimu kama baba wa taifa lakini wapo wale ambao wanaamini alikuwa adui wa uislam. Maendeleo ya Turkey yamekuja baada ya kureform ili ikubalike kuingia European Union lakini hata hivyo kuna tatizo maana chama kinachotawala hivi sasa ni cha kiislam. Another decline in future is guranteed
   
 7. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Kakoleza chumvi
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Unafanya kosa moja kubwa sana sana.

  Kumbuka hawa jamaa wako wangapi huko German na sasa kuna hadi Mturuki ambaye ni Waziri German.

  Wana wachezaji kadhaa hadi kwenye timu ya Taifa ya German.

  CEO wa Cocacola Muhtar Kent ni Mturiki/USA.

  Nusu ya Uturuki ipo Europe na nusu nyingine ipo ASIA. Hii ya Europe inakwenda speed nzuri sana.

  Watu wengi wa Europe Kaskazini, huenda sana Uturuki na Ugiriki kwa ajili ya kupata jua.

  Majirani zao wengi ni nchi tajiri.

  Ni MAFIA Wazuri sana hasa inapokuja kwenye kuuza UNGA na biashara nyingine haramu.

  Nchi haiwezi kuendelea bila MAFIA wanaowekeza nyumbani kwao.

  Kwa hali iliyopo Tanzania, kama tungelikuwa na MAFIA, wangelifanya kweli kwani kama uchumi wa nchi unaanguka, na wao biashara zao zingelianza kuanguka. Wangelihakikisha Tz ina umeme wa kutosha na siyo kutegemea Generator zao. Sasa hawa Mafisadi wenye ofice zao kwenye masanduku, ndiyo yanapelekea sisi kuwa hapa tulipo.

  Kumbuka tena, Tanzania eti ndiyo tajiri kwa kulinganisha na majirani.

  BILA MAFIA, NCHI HAIENDELEI. Hata South Africa wana Mi-mafia miuza silaha na miaskari ya kukodiwa.
   
 9. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  As I said before, this is a business trip so I went out for dinner with Dr Sander Garbuz who served/founder of Turkish embassy to TZ back three years, he served as ambassador. Currently workS in the foreign ministry as Head of African Continent.

  Alikuwa anasema

  1. Turkey flies in 215 destination we fly to one Kigoma only
  2. Turkey has 200 big Airplanes - We have one Dash 8
  3.No 15 in the world economy
   
 10. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  LAT nitakwambia, I am with a big fish in this country who is based in Ankara and was him today for dinner. Nikienda nita ku PM
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  okay,

  enjoy doner kebab
   
Loading...