Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Furaha ya yanga ni mpaka Simba ifungwe na timu nyingine. Lakini mkikutana na Simba lazima mchapane bakora wenyewe kwa wenyewe.
polis morogoro 1, mbeya city 0
Hamjihamini kabisa mpaka muone hali angalau, ndio mnajitokeza. Shukuruni Yanga tupo hapa kusongesha laa hakuna kitu.
Matokeo yakibaki hivi baadaye watafulika ajabu wakati muda huu wamesusa.
Hamjihamini kabisa mpaka muone hali angalau, ndio mnajitokeza. Shukuruni Yanga tupo hapa kusongesha laa hakuna kitu.
tunachungulia Kwa mbali...
Matokeo yakibaki hivi baadaye watafulika ajabu wakati muda huu wamesusa.
Tunawaangalia jinsi wenye JKT Ruvu yenu mnavyofurahi.
Kwani hamjiamini mkuu mpaka mchungulie kwa mbaliiiiiiiiiii!!!!!!!!.
Polisi morogoro 1 mbeya city 0
mfungaji: Said bahanuz
Nipo Mkuu, bado tuko mbele kwa goli mbili dhidi ya moja.Ngapi ngapi wakuu ?, maana nipo msituni nakaza kuomba dua ili thimba itoe droo ama kufungwa kama kawaida yao. Mkuu Masuke upo wapi ?
Tunawaangalia jinsi wenye JKT Ruvu yenu mnavyofurahi.
Tungewasusia mechi yao leo. Maana matokeo yakienda hivi mpaka mwisho, huwezi amini watakesha hapa.
Mikia inachungulia na kutoka, wamekosa imani na timu yao.