kwani floyd kaanza kumkimbia pacman leo over 3yrs ana mduck
afu floyd ni mjanja sana kwenye ku pick opponent wake coz alijua canelo hana speed so asingempa tabu kucheza defensive style yake ya kila siku
by the way floyd always wins on point kwa sabab ya ku defense sana
kapigana na mtu kamzid almost a decade
manny hata kma ameanza ku drop ni kutokana na hayuko fit psychological kutokana na mambo yake ya nje ya uwanja akitulia floyd anakaa tena kwa KO
Inshallah! Mie binafsi ntafurahi sana kama Pacman atamdondosha Floyd,
Lakini si kweli kuwa Floyd huwa anamkwepa Pacman bali wanakwepana na wanashindwa kukubaliana kwenye malipo
Floyd Money Maywether has won the contestnipo katika ukumbi wa MGM Grand nikifuatila kwa karibu kabisa mapambano ya utangulizi.
Lakini kinachosubiriwa hapa ni pambano kati ya Maywether na Alvarez...
Twende sasa.........
PACman alikua mzuri ila toka apewe ugavana kwisha kazi.....
alafu nahisi jamaa anaweza kuwa teja, we muangalie vizuri usoni utagundua kitu..!!
Inshallah! Mie binafsi ntafurahi sana kama Pacman atamdondosha Floyd,
Lakini si kweli kuwa Floyd huwa anamkwepa Pacman bali wanakwepana na wanashindwa kukubaliana kwenye malipo
Don't forget the PPV revenue, gate revenue, and revenue as a promoter through his Mayweather Promotions company. So the $41m is just the guaranteed purse that's on the contract but he stands to earn way way more than that.
I think he'll again top this year's list of the highest paid athletes in the world. Against Robert Guerrero a couple month ago he banked in $32 million excluding the PPV revenue.
The dude is one hell of a self promoter.
pambano lijalo huyu Mayweather tumkutanishe na mtoto kutoka Milima ya Ulugulu SMG Cheka himself.....!!!
The problem with some of the casual fans is they just want to see a brawl and not the sweet science of the marquess of queensbury rules.
But some of us are fans of Money May just because of that (the sweet science) and he put on a clinic tonight.
Huyu dogo Canelo ajifunze 1 or 2 things from Floyd Jr, anaweza kuwa bingwa baada ya Floyd Jr kustaafu.
Unao ushahidi?
Unao ushahidi?