Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
watu maarufu tupo wengi mno humu ndani...
nipo katika ukumbi wa MGM Grand nikifuatila kwa karibu kabisa mapambano ya utangulizi.
Lakini kinachosubiriwa hapa ni pambano kati ya Maywether na Alvarez...
Twende sasa.........
Cheka yuko wapi?
Mkuu ningependa kujua hao watu maarufu mliohudhuria ni akina nani, nikianza nawe moja kwa moja na umaarufu wako katika jamii.
Cheka pambano lake lijalo anapambana na Companero...
Akishinda hilo nampambanisha na Matola...aah hachomoki hapo
Tulitakiwa tumwone Cheka au Matumla vs Garcia. Promoters wetu vipi?
sasa ni kati ya Ishe Smith wa hapa Marekani na Caros Moria toka Mexico...
Yaani mie nasubiria kuangalia ila usingizi uwiiiii, nimelala nimeamka ila duh sitaki kukosa.
Hutakiwi kukosa hii ishu...
Maana hawa tunaowasubiria hakuna aliepoteza pambano.
So atakaejamba leo aibu yake
Money Mayyyyyyyyyyyyyyy
Mbona huyu dogo Smith mbona anatuaibishaaaaaaa? Aaaaaaarrrrgggghhhh