Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
Mchezo kati ya klabu ya Barcelona dhidi ya Real Madrid umewadia. Mechi hii yenye mvuto kwa ulimwengu wa Soka inatarajiwa kupigwa kwenye Dimba la Nou Camp majira ya saa kumi na mbili na robo jioni ya leo.
Hu ni muda muafaka wa kukumbushana mambo yaliowahi kuleta mvuto wa kipekee kwenye game ya El Clasico.
Kwa kuanza tu basi ni jambo la muhimu kuulizana maswali ambayo yanaweza kuleta changamoto haswa kwa familia ya Soka.
1. Ni nani anaeshikilia rekodi ya kufunga goli huku akiwa na umri mdogo zaidi katika historia ya El Clasico?
2. Je unamfahamu mchezaji anaeshikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi katika historia ya mechi za El Clasico?
3. Ni golikipa gani wa Real Madrid alikuwa wa mwisho kuondoka kwenye uwanja wa Camp Nou bila kuruhusu goli? A. Iker Casilas B. Cesar C. Navas D.
4. Yapi ni matokeo yaliojirudia zaidi kwenye Dimba la Camp Nou kati ya mchezo wa Barca na Madrid? A. 3-1 B. 2-1 C. 1-1 D. 1-0
5. Kati ya mechi 10 za mwisho ambazo zilizikutani Barca na Madrid kwenye Dimba la Camp Nou, je Barcelona ameshinda mechi ngapi? A. Tano B. Nne C. Sita D. Tatu
6. Katika mechi za El Clasico zilizochezwa kwenye uwanja wa Camp Nou, je Mshambuliaji Cristiano Ronaldo amefunga magoli mangapi?
7. Je ni mechi ngapi ambazo Barcelona walishindwa kufunga goli katika historia ya mechi za El Clasico zilizochezwa kwenye Dimba la Camp Nou?
8. Ni wachezaji wangapi wa Real Madrid waliopo kwenye kikosi cha timu hio kwa sasa ambao wameshafanikiwa kuifunga Barcelona magoli zaidi ya mawili kwenye uwanja wa Camp Nou?
9. Ni Hattrick ngapi mchezaji Lionel Messi ameshaifunga Real Madrid kwenye Dimba la Camp Nou?
10. Je ni mechi ngapi mfululizo ambazo Real Madrid wamefanikiwa kufunga goli katika michezo ya El Clasi noco iliochezwa Camp Nou?
11. Je kocha Louis Enrique na kocha Zinedine Zidane wamekutana mara ngapi kwenye mechi za El Clasico zilizochezwa kwenye Dimba la Camp Nou?
more: El Clasico…haya ni maswali muhimu unayo paswa kuyajibu…