Sasa hivi kama mtaenda hewani kwakufungulia TV yako channel ya Citizen basi ni live coverage ya safari ya mwisho kwa yule aliyekua mwanaharakati wa mazingira mama Wangari Maathai! RIP MAMA MAATHAI WANGARI. Souce: CITIZEN CHANNEL