kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,214
Huyu atakuwa na nocturnal eneuresis (kwa lugha ya mtaani kikojozi)hivi we unaumwa ugonjwa gani aisee!
Huyu atakuwa na nocturnal eneuresis (kwa lugha ya mtaani kikojozi)hivi we unaumwa ugonjwa gani aisee!
Thamani ya Mauzo | Kodi kwa wasiokuwa na kumbukumbu za mauzo | Kodi kwa wenye kumbukumbu za mauzo | ||
(i) | Kwa mauzo yasiyozidi Shs. 3,000,000/= | Shs. 35,000/= | 1.1% ya mauzo | |
(ii) | Kwa mauzo yanayozidi Shs. 3,000,000/= na yasiyozidi Shs. 7,000,000/= | Shs. 95,000/= | Shs. 33,000/= + 1.3% ya mauzo yanayozidi Shs. 3,000,000/= | |
(iii) | Kwa mauzo yanayozidi Shs. 7,000,000/= na yasiyozidi Shs. 14,000,000/= | Shs. 291,000/= | Shs. 85,000/= + 2.5% ya mauzo yanayozidi 7,000,000/= | |
(iv) | Kwa mauzo yanayozidi Shs. 14,000,000/= na yasiyozidi Shs. 20,000,000/= | Shs. 520,000/= | Shs. 260,000/= + 3.3% ya mauzo yanayozidi Shs. 14,000,000/= | |
Viwango vinavyopendekezwa | ||||
| Thamani ya Mauzo | Kodi kwa wasiokuwa na kumbukumbu za mauzo | Kodi kwa wenye kumbukumbu za mauzo | |
(i) | Kwa mauzo yasiyozidi Shs. 3,000,000/= | Asilimia sifuri (0%) | Asilimia sifuri (0%) | |
(ii) | Kwa mauzo yanayozidi Shs 3,000,000/= na yasiyozidi Shs 7,500,000/= | Shs. 100,000/= | 2% ya mauzo yanayozidi Shs 3,000,000/= | |
(iii) | Kwa mauzo yanayozidi Shs 7,500,000/= na yasiyozidi Shs 11,500,000/= | Shs. 212,000/= | Shs. 90,000/= plus 2.5% ya mauzo yanayozidi Shs 7,500,000/= | |
(iv) | Kwa mauzo yanayozidi Shs 11,500,000/= na yasiyozidi Shs 16,000,000/= | Shs. 364,000/= | Shs. 190,000/= + 3.0% ya mauzo yanayozidi Shs 11,500,000/= | |
(v) | Kwa mauzo yanayozidi Shs 16,000,000/= na yasiyozidi Shs 20,000,000/= | Shs. 575,000/= | Shs. 325,000/= + 3.5% ya mauzo yanayozidi Shs 16,000,000/= | |
Mapato | Shilingi Milioni | |||
A. | Mapato ya Ndani | 8,714,671 | ||
| (i) Mapato ya Kodi (TRA) | 8,070,088 | | |
| (ii) Mapato yasiyo ya Kodi | 644,583 | | |
B. | Mapato ya Halmashauri | | 362,206 | |
C. | Mikopo na Misaada ya Kibajeti | 842,487 | ||
D. | Mikopo na Misaada ya Miradi ya Maendeleo ikijumuisha MCA (T) | 2,314,231 | ||
E. | Mikopo ya Ndani | 1,631,957 | ||
F. | Mikopo yenye Masharti ya Kibiashara | 1,254,092 | ||
| JUMLA YA MAPATO YOTE | 15,119,644 | ||
| Matumizi | |||
G. | Matumizi ya Kawaida | | 10,591,805 | |
| (i) Deni la Taifa | 2,745,056 | | |
| (ii) Mishahara | 3,781,100 | | |
| (iii) Matumizi Mengineyo | 4,065,649 | | |
| Wizara 3,311,399 | | | |
| Mikoa 49,701 | | | |
| Halmashauri 704,549 | | | |
H. | Matumizi ya Maendeleo | | 4,527,839 | |
| (i) Fedha za Ndani | 2,213,608 | | |
| (ii) Fedha za Nje | 2,314,231 | | |
| JUMLA YA MATUMIZI YOTE | 15,119,644 | ||
Kuingiza magari kodi juu | Send to a friend |
Thursday, 14 June 2012 19:28 |
0digg Hussein Issa SERIKALI imepandisha kodi kwa asilimia 20 kwa magari yanayoagizwa kutoka nje ya nchi, yaliotengenezwa mwaka 2004 kurudi nyuma. Akizungumza jana bungeni wakati akisoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2012/13, Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk William Mgimwa alisema magari ambayo yalitengezwa kwa miaka minane iliyopita na zaidi kodi imepanda kwa asilimia 20. Alisema lengo la hatua hiyo ni kuboresha huduma ya kuagiza magari ili wananchi waache kununua magari kuukuu, lengo likiwa ni kuboresha na kulinda mazingira. Kutokana na hatua hiyo ya Serikali matarajio ni kwamba bei za magari zitapanda. Pia katika hotuba hiyo, Waziri huyo alisema kwamba kodi kwa wasafiri wa ndege itaongezeka kwa abiria wanaotoka kwenda nje ya nchi hadi Dola40 za Kimarekeni badala ya Dola30. Abiria watakaokuwa wakisafiri kwa ndege safari za ndani ambao awali walikuwa wanalipa kodi ya Sh5,000 sasa watalazimika kulipa Sh10,000. Katika hatua nyingine, Dk Mgimwa ametangaza kodi maalumu kwa namba binafsi za magari, wa Sh5 milioni kwa miaka mitatu. Alisema lengo la kurekebisha sheria ya kodi ni kukusanya Sh6,360 milioni na kuboresha Pato la Taifa. |