kuna siku nilisafiri kwenda Mafinga na hizi gari zinazo toka bandarini huwa na # IT******* kwa kawaida huwa haziruhusiwi kubeba abiri wala mizingo lakini huwa zina beba sasa kimbembe ni njiani kuna wakati polisi anachukua mpaka 500 na huwa wana patana kabisa utasikia polisi akimwambia dereva ongeza bwana hii kidogo sana, dereva nae si unajua mko wengi....hii nchi sijui kama tutafika