Wajuvi wa mambo ninafatilia hii event naona hawa komedian wanalazimisha kuchekesha..ni aibu nmegawa marx kama ifuatavyo
1.mau fundi= 27
2.pepe= 32
still naendele kufatilia ntawajuza wajuvii wa mambo
Wajuvi wa mambo ninafatilia hii event naona hawa komedian wanalazimisha kuchekesha..ni aibu nmegawa marx kama ifuatavyo
.mau fundi= 27
.pepe= 32 katarina 17
still naendelea kufatilia ntawajuza wajuvii wa mambo
Mimi naamini KUCHEKESHA kunaanza na appearance. Nani anawachagulia mavazi hawa comedians wetu? Comedian anatinga suti kali as if yeye ndio kaja kucheka badala ya kuvaa vazi lenye utata ili kwamba hata kwa kumuona tu uanze kucheka.
Angalia nguo aliyovaa Katarina, kapiga make up kama anaenda kushindana urembo. Wote appearance zao poor.