LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

Dk 70 Ars 1 - 2 bay

podoski and ramsey out
rosi na giroud in
 
Huyu Kroos bora katoka kawa mzito sana kuachia mpira, Luis Gustavo kaenda kukaza hapo kati
 
kwa mpira tu aseno wanajitahidi ila mbinu za kushinda hawana..
 
Bunduki leo zime-missfire kabisa naona uelekeo ni hayo 3 yamewatosha
Ujerimani waende na Kapu/lori la magoli.
 
Kwa mpira huu wanaweza kufungwa hata na Yanga,....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…