Mimi sio Gunners na japo sikutabiri kwenye jamii forums lakini nilijua gunners wanapigwa.niliona post ime kuwa edited dakika chache baada ya game nikatia mashaka na sikuona any comment reflecting the game zaidi ya results
Matusi ya nini mzee wa Milan, mpenzi wa Ronaldinho. Hauwezi kujieleza bila kuandika matusi? acha kuwa kama mshabiki wa kariakoo lindi!
Hajachamba na maumivu ya libolo juu, maaaanina!
Kakurupuka hajachamba...
Achana nae
Umekurupuka bila kuchamba ona sasa Nzi wanavyo kufuata...
nime edit ili nikuwekee ofisi zangu za unajimu na utabiri zinapopatikana.
Tazama watu walioninakili hapo awali utagundua utabiri wangu ulikuwaje...
Both,
naona we ulikua bize kutoa updates za match kama vile ulianzisha uzi wewe, Au ulizani hatuoni hiyo match mpaka ugeuke Halima Mchuka kujifanya commentator?
Sio kweli hiyo prediction ilikuwepo kwa uzi wa kwanza zaidi, me natoa comment yangu ya kwanza mchana kwenye huu uzi prediction ilikua hivyohivyo.
Kama una maumivu ya LIBOLO Munich tafuta tu mtu akukande sio kuja kutoa ushuzi hadharani!
2 - 0.........
Sasa si unapenda mwenyewe kutukanwa pale inapobidi? mimi nilichangia huu uzi jana MCHANA ukiwa na utabiri wa Gang Chomba lakini wewe ukajiona unaelewa zaidi angalia sasa, sijui bado una kiwewe cha LIBORO?Matusi ya nini mzee wa Milan, mpenzi wa Ronaldinho. Hauwezi kujieleza bila kuandika matusi? acha kuwa kama mshabiki wa kariakoo lindi!
Hebu soma makamasi yako hayo, mpira upi wa kujitahidi usiokua na mbinu za kushinda? Kwani watu wanaingia uwanjani kusaka nini? Sasa kama hawana mbinu za kushinda wanakua wanajitahidi katika nini? Kufungwa?
Gang Chomba kama uliBET jana kwenye michezo yao ile basi utakua umevuta mkwanja wa maana. Safiiii sana mkuu.
Hapana sio kweli,, arsenal amefungwa 3-1 emirates, so bayern ana 3 away goals,,, arsenal akishinda 2-0 munich anakuwa na 2 away goals, so bayern anapita kwa away goals maana ana mengi kuliko arsenal..
Ili arsenal apite anapaswa kushinda goals 3-0 au zaidi.. Lakini lazima ayafute magoli 3 ya bayern aliyofungwa away kwa yeye naye kupata magoli zaidi ya matatu away
Haka katimu acha kafungwe tu bana. Kana maneno sana wakati huwa hakashindi kikombe chochote.
Sasa si unapenda mwenyewe kutukanwa pale inapobidi? mimi nilichangia huu uzi jana MCHANA ukiwa na utabiri wa Gang Chomba lakini wewe ukajiona unaelewa zaidi angalia sasa, sijui bado una kiwewe cha LIBORO?
Hapana sio kweli,, arsenal amefungwa 3-1 emirates, so bayern ana 3 away goals,,, arsenal akishinda 2-0 munich anakuwa na 2 away goals, so bayern anapita kwa away goals maana ana mengi kuliko arsenal..
Ili arsenal apite anapaswa kushinda goals 3-0 au zaidi.. Lakini lazima ayafute magoli 3 ya bayern aliyofungwa away kwa yeye naye kupata magoli zaidi ya matatu away
Kama Sheikh Yahya,haya na leo Turati itakuwaje,angalia unaweza run away,ila huwezi runaway from yourself(unaweza kutukimbia ila hauwezi kujikimbia mwenyewe)Arsenal inaingia Dimbani leo kupambana na ngoma ngumu barani Uropa yaani Bayern Munich kutoka Bavaria Ujerumani.
Arsenal ikiwa na kumbukumbu mbaaya zaidi kwa kutolibeba kombe la klabu Bingwa Barani Ulaya, inaingia dimbani ikiwa haipewi nafasi yoyote ya kuweza kufanya vyema na kuingia hatua ya robo fainali kiasi kwamba wachambuzi wa maswala ya Soka wametanabaisha kuwa hata mechi zote mbili zingalichezwa uwanjani Emirates basi Arsenal wangeyaaga mashindano.
Bayern wanaingia uwanjani wakiwa wamekamilika kila Idara. Wana kocha mzuri, wana kocha mtarajiwa mzuri pia.
Wana wachezaji weengi wa kiwango cha juu tofauti na kilabu cha Arsenal.
DID YOU KNOW?
Arsenal and Bayern Munich have met four times before in the Champions League, with the Gunners
victorious just once.
Their last meeting was also at the Champions
League last-16 stage, which the German side won
3-2 on aggregate in 2004-05.
Olivier Giroud has four assists in the group stages of
the Champions League this season; only Zlatan
Ibrahimovic has more with five.
Lukas Podolski has scored three goals from three
shots on target in the Champions League this term. He is 17/2 to score the first goal in the game
with BetVictor.
Bayern Munich had the most different goalscorers in the group stage, with nine.
The German side also conceded the fewest shots on
target in the group stage, with just 17 against. TThe Bavarians last won in England in April 2001,
with a 1-0 quarter-final victory over Manchester
Utnited on course to winning the tournament. Mario Gomez (mnyama) has scored 25 goals
in 26 Champions League starts.
Gang Chomba Prediction...
Arsenal 1-3 Bayern Munich
Ofisi zangu za utabiri zipo Magogoni...
Kama Sheikh Yahya,haya na leo Turati itakuwaje,angalia unaweza run away,ila huwezi runaway from yourself(unaweza kutukimbia ila hauwezi kujikimbia mwenyewe)
aseno akishind 4-2,5-3,6-4 anapita,haya mimi nimeamini Gang Chomba alisema mpira haudundi baharini,haya na leo Barcelona ni = na bahari au sio Chomba?Ma bad, thanx for correction Mkuu!
Hata ujae vp hauwezi kudunda Baharini...
miujiza ya mwisho ni ile ya yule mzee wa Loliondo ambaye juzi kati ameonekana anatoka pharmacy kununua mkojo wa Punda
Viper Ulikuwa umejificha wapi,pole sana kwa yaliyokukuta Emirateschomba unakumbuka Intermilan alimpiga arsenal 3 bila! highbury park , je unakumbuka alikwenda kumfanya nini alipofika Stadio Giuseppe Meazza..? ni mapema sana kuwaondoa arsenal .. ngoma bado mbichi hii! though kombe ni la JUVE!
jikubushe mkuu! video hii