Guys, naomba msaada wenu. Mwenye uelewa wa namna ku download series naomba anielekeze tafadhari.
Kuna wakati nilikuwa masomoni uswiss nilikuwa natumia WAWACITY lakini niliporudi huku ilikataa baada ya kugunduwa server niliyokuwa natumia ni tofauti
Guys, naomba msaada wenu. Mwenye uelewa wa namna ku download series naomba anielekeze tafadhari. Jana nimenunua CD ya jack Bobwer Live another Day mwendelezo wa 24 hours, cha ajabu ilikuwa na episode moja tu wakati imeanza kuonyeshwa tangu tarehe 06/05/2014. Nilitegemea japo episode 5, nitizame masaa 5, sasa ni saa moja, season moja ina episode 24, sasa kama wana burn episode moja kwenye CD tutalipa kiasi gani? Naombeni msaada kwa wale wanaodownload series au movie. Kuna wakati nilikuwa masomoni uswiss nilikuwa natumia WAWACITY lakini niliporudi huku ilikataa baada ya kugunduwa server niliyokuwa natumia ni tofauti
- Hii search engine inakidhi mahitaji utapata series katika quality ya 720p au 1080p
- Mfano waweza search "Live another Day 720p"
- Ila utahitaji moja kati ya hizi software: tixati, vuze, bittorrent au uTorrent
- Waweza kuendelea kudownload toka hiyo site iwapo utatumia VPN mfano PD Proxy - ambapo utachagua server za huko
Nashukuru sana ndugu yangu, that's why napenda JF maana wapo wengine wanaalimishana na wengine ndo hivo unaambulia matusi
Summary: Jack Bauer comes out of hiding in London to head off a massive terrorist attack while being hunted down by American forces dispatched by President James Heller.
Ninazo hadi episode ya 4 sasa sijui nitakupataje nikupe ndugu nipo morogoro.
- BookMark hii page:>> http://watchseries.lt/serie/24:_Live_Another_Day
Aisee nimeingia kwenye hiyo page lakini kila nikitaka ku download naambiwa ku creat a new account halafu uki create unaambiwa ku verify credit card na mimi credit zangu zote za uswiss zime expire. What should i do then?
Hapa Dar utapata wapi DVD original ya series? Uswiss zinauzwa swiss francs 180 ambayo inakaribia laki tatu? Wangapi wananua hapa? Acha madongo bhana wew mwenyew huwezi nunua hata kama una hela vipi
Chukua Mizigo hii hapa faster faster
24 S09E01
http://www2.multiupload.nl:81/files...31E4851657542278470505FCD/24.901.hdtv-lol.mp4
24 S09E02
http://www2.multiupload.nl:81/files...4C9544889645B05AD62F54EA4/24.902.hdtv-lol.mp4
24 S09E03
http://www2.multiupload.nl:81/files...EA210A26C45948B3CAC3ACBBBEED2BEF1A2/29hlm.mp4
Ha mkuu mbona unatuokota,nchi gani duniani dvd ya movie unanunua sh laki tatu?Mbona bei za vitu duniani tunaziona kwenye,alibaba,e bay na amazon na kwa movie dvd haziko hivyo hata iwe original?
Guys, naomba msaada wenu. Mwenye uelewa wa namna ku download series naomba anielekeze tafadhari. Jana nimenunua CD ya jack Bobwer Live another Day mwendelezo wa 24 hours, cha ajabu ilikuwa na episode moja tu wakati imeanza kuonyeshwa tangu tarehe 06/05/2014. Nilitegemea japo episode 5, nitizame masaa 5, sasa ni saa moja, season moja ina episode 24, sasa kama wana burn episode moja kwenye CD tutalipa kiasi gani? Naombeni msaada kwa wale wanaodownload series au movie. Kuna wakati nilikuwa masomoni uswiss nilikuwa natumia WAWACITY lakini niliporudi huku ilikataa baada ya kugunduwa server niliyokuwa natumia ni tofauti
Ingia www.g2g.fm iko very simple,me ndio natumia hiyo.
Hiyo ya 4 umeitoa wapi? acha kumzingua mwenzio!Ninazo hadi episode ya 4 sasa sijui nitakupataje nikupe ndugu nipo morogoro.
Duh hadi episode ya nne? Imeshaonyeshwa? Mim nilifikiri ni hadi ya tatu. Mimi nipo Dar - kunduchi ndugu yangu. Ulidownload?
Ingia www.g2g.fm iko very simple,me ndio natumia hiyo.
Kiongozi yaani hii kitu noma, nimeiingia nikaanza kutizama kwenye smu yangu ya iphone4 bila matatizo. Thank u so much. Nimeona na movie nilizokuwa natamani ngoja niweke bundle za kutosha