Guys, naomba msaada wenu. Mwenye uelewa wa namna ku download series naomba anielekeze tafadhari. Jana nimenunua CD ya jack Bobwer Live another Day mwendelezo wa 24 hours, cha ajabu ilikuwa na episode moja tu wakati imeanza kuonyeshwa tangu tarehe 06/05/2014. Nilitegemea japo episode 5, nitizame masaa 5, sasa ni saa moja, season moja ina episode 24, sasa kama wana burn episode moja kwenye CD tutalipa kiasi gani? Naombeni msaada kwa wale wanaodownload series au movie. Kuna wakati nilikuwa masomoni uswiss nilikuwa natumia WAWACITY lakini niliporudi huku ilikataa baada ya kugunduwa server niliyokuwa natumia ni tofauti
Guys, naomba msaada wenu.
Mwenye uelewa wa namna ku download series naomba anielekeze tafadhari.
Jana nimenunua CD ya jack Bobwer Live another Day mwendelezo wa 24
hours, cha ajabu ilikuwa na episode moja tu wakati imeanza kuonyeshwa
tangu tarehe 06/05/2014. Nilitegemea japo episode 5, nitizame masaa 5,
sasa ni saa moja, season moja ina episode 24, sasa kama wana burn
episode moja kwenye CD tutalipa kiasi gani? Naombeni msaada kwa wale
wanaodownload series au movie. Kuna wakati nilikuwa masomoni uswiss
nilikuwa natumia WAWACITY lakini niliporudi huku ilikataa baada ya
kugunduwa server niliyokuwa natumia ni tofauti
Guys, naomba msaada wenu. Mwenye uelewa wa namna ku download series naomba anielekeze tafadhari. Jana nimenunua CD ya jack Bobwer Live another Day mwendelezo wa 24 hours, cha ajabu ilikuwa na episode moja tu wakati imeanza kuonyeshwa tangu tarehe 06/05/2014. Nilitegemea japo episode 5, nitizame masaa 5, sasa ni saa moja, season moja ina episode 24, sasa kama wana burn episode moja kwenye CD tutalipa kiasi gani? Naombeni msaada kwa wale wanaodownload series au movie. Kuna wakati nilikuwa masomoni uswiss nilikuwa natumia WAWACITY lakini niliporudi huku ilikataa baada ya kugunduwa server niliyokuwa natumia ni tofauti
Pamoja na kusoma mpaka USWIZI bado unanunu dvd za kuburn Kariakoo?
Hapa Dar utapata wapi DVD original ya series? Uswiss zinauzwa swiss francs 180 ambayo inakaribia laki tatu? Wangapi wananua hapa? Acha madongo bhana wew mwenyew huwezi nunua hata kama una hela vipi
Nimekuelewa mkuu labda niweke sawa nilicho maanisha ni kuwa umenunuaje dvd yenye epsode 1 wakati zinapatikana zilizo complete. Ndiyo maana nasema umenunua zile za mtaani za akima dj Mark. Kwani unaishi wapi mkuu?
Nimekuelewa mkuu labda niweke sawa nilicho maanisha ni kuwa umenunuaje dvd yenye episode 1 wakati zinapatikana zilizo complete. Ndiyo maana nasema umenunua zile za mtaani za akima dj Mark. Kwani unaishi wapi mkuu?
Hiyo Cd Imetoka jana na wote walionunua wamejuta episode moja. Wamefanya makusudi kwa sababu ni mpya na watu wengi wanampenda sana Jack Bower wa 24 hrs.
Hapa Dar utapata wapi DVD original ya series? Uswiss zinauzwa swiss francs 180 ambayo inakaribia laki tatu? Wangapi wananua hapa? Acha madongo bhana wew mwenyew huwezi nunua hata kama una hela vipi