LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

Ac millan 2 barca 0 anebisha labda awe zombi, nimeiiba kwenye komputa ya yule bwana mwenye kifua kukuu wa naigeria
 
Full time,
Libolomilan 2 - 0 catalunyanya


Hah hah hah hah haaaaaaaaaaah wale wakurupukaji waliokurupuka na mimi tangu saa sita mchana ya jana wako wapi?
Hiyo ndio AC Milan
 
naona barca wameanza kufulia na kingine hawa kuona gemu ya jana aseno nini kweli mpira magoli nasio chenga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…