LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

Gang Chomba

Platinum Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,734
Reaction score
4,869
Baba wa mafanikio ya soka yaani klabu ya AC Milan yenye maskani yake Barabara ya Turati hapo mjini Milan leo inajimwaga katika Dimba la nyumbani la Sansiro ama ukipenda liite Giussepe Meazza ama Yusuph Meazza kwa kiswahili kupambana na Barcelona kutoka katika mji mdogo usio na kumbukumbu wala mvuto wowote wa Catalan ama wenyewe hupendelea kuuita Catalunya. Mji ambao unalilia kujitenga toka katika mabavu ya Mfalme nguli wa Spain.

Milan has all the best players and almost every
soccer player dreams of joining it first one is kaka
second nasri third tevez fourth cristiano Ronaldo
only if Jose Mourinho would come to AC Milan
which he will if he wants to win titles Milan have
won more trophies than any other football team in the world. Should be numero uno!

Barcelona wakiingia uwanjani kwa kumbukumbu ya kuandamishwa na Chelsea msimu uliopita huku asilimia 75 ya washabiki wa soka wakiamini kuwa Barca wanapatiwa upendeleo dhahiri toka kwa UEFA wanataka kudhihirisha kuwa wana uwezo.
lakini swali je uwezo huo wanao kweli?
Tulishuhudia msimu uliopita Refa akiharibu pambano la Milan na Barca kwa kuamuru ipigwe penati kabla ya kona kupigwa hivyo Deadball ikazaa Deadball kitu ambacho hata kwenye Rugby hakipo.

AC Milan is the best! Nobody stands in the way
when they're playing
their best game.
They have also won the second most champions
league cups in history, behind only Real Madrid, but
they got a head start with five in a row at the beginning.

Barca wanatarajiwa kuwa Na:
Vardes, Alves, Alba, Puyol, Pique, Busquet, Xavi, Iniesta, Nesi, Pedro.
Huku ikiaminika kuwa kikosi chao kinaweza kunogeshwa zaidi na waamuzi watakaochezesha.

The best footbal team in the world, ''il
club più titolato al mondo'' this italian team is the
best! The player like Van Basten, Ibrahimovich and
kakà are a lot famous The Most Successful Club In
The World!
I forgot how I fell to Milan, cause since I know football, Milan is the only one in my heart... Only Red
and Black, Rossoneri, Il Diavolo Rosso...

wakiwa na mwanasoka eti bora wa Dunia Barca wamepewa nafasi kubwa na makampuni ya kuchezesha kamali Duniani kuwa eti wataibuka na ushindi...let us wait and see...

In the
last 25 years AC Milan has won more UEFA
Champions League of all other clubs. milan is the
succesful football club on earth.. milan plays attractively, nothing I can say. milan is
just the best ever.
Milan wanatarajiwa kuwa na:
Abiati, Abate, zapata, Mexes, Constant, Ambrosini, Boateng, Montolivo, Nocerino, El Shaarawy, Pazini...

the Sagga Continua...

Gang Chomba Prediction...
Mechi itakwisha kwa droo.
 
Ha ha ha ha,, pamoja na sifa zote hizo ukilinganisha kikosi cha milan na barca haviendani kabisa,,

We forward shaarawy sijui pazini wenzako forward messi,

Katikati we una boateng sijui montolivo wenzako Xavi na Iniesta..

Beki una Abate sijui Zapata wenzako wana puyol, pique, bousquet, all about world cup/euro winners

Kitachotokea ni zaidi ya arsenal na bayern jana,, mtu mzima ataaibishwa Turati leo
 
Gang Chomba,piga sarakasi uwezavyo na kanzu yako but mind the underwear you forgot to wear,kipigo cha 3-1 kipo pale pale.Gang Chomba hata mgangamale vipi,chombo kwenda mrama ni lazima!mark my words!
 
pusmalakadina.
Gang Chomba mbona hujaweka utabiri kama ambavyo ulikurupuka na kuweka jana?
Au kwa kuwa shuzi linakuhusu?
 
Gang Chomba,piga sarakasi uwezavyo na kanzu yako but mind the underwear you forgot to wear,kipigo cha 3-1 kipo pale pale.Gang Chomba hata mgangamale vipi,chombo kwenda mrama ni lazima!mark my words!

Ujue nilitaka kuanzisha uzi juu ya hii mechi, ila nikajuwa jamaa atakuja nao tu ambao utavuta hisia zaidi.
dah
 
Nimekunyooshea mikono jana ulivyotabiri about gunners,respect!!
 
Baba wa mafanikio ya soka yaani klabu ya AC Milan yenye maskani yake Barabara ya Turati hapo mjini Milan leo inajimwaga katika Dimba la nyumbani la Sansiro ama ukipenda liite Giussepe Meazza ama Yusuph Meazza kwa kiswahili kupambana na Barcelona kutoka katika mji mdogo usio na kumbukumbu wala mvuto wowote wa Catalan ama wenyewe hupendelea kuuita Catalunya. Mji ambao unalilia kujitenga toka katika mabavu ya Mfalme nguli wa Spain.

Weka utabiri wako mapema
 
Leo imekula kwako mkuu..Nesi ndo nani?Mbona unamtaja kwa uwoga hivyo..Ahahahahah..Kibibi kizee chatiwa mimba leo maajabu ya dunia.
 
Ac milan 1-Barca 4,am bettin

Mpaka sasa Milan ndio klabu inayoongoza kwa
mafanikio ya kimataifa ikiwa imekusanya
Intercontinental cup mara 4
European super cups mara 5
Cup winner cup mara 2
UEFA champions league mara 7.
 
Endelea kutuletea hayo mavi ya kale makavu yasiyonuka,tunataka mabichi ya leo usiku.
 
Baba wa mafanikio ya soka yaani klabu ya AC Milan yenye maskani yake Barabara ya Turati hapo mjini Milan leo inajimwaga katika Dimba la nyumbani la Sansiro ama ukipenda liite Giussepe Meazza ama Yusuph Meazza kwa kiswahili kupambana na Barcelona kutoka katika mji mdogo usio na kumbukumbu wala mvuto wowote wa Catalan ama wenyewe hupendelea kuuita Catalunya. Mji ambao unalilia kujitenga toka katika mabavu ya Mfalme nguli wa Spain.

Milan has all the best players and almost every
soccer player dreams of joining it first one is kaka
second nasri third tevez fourth cristiano Ronaldo
only if Jose Mourinho would come to AC Milan
which he will if he wants to win titles Milan have
won more trophies than any other football team in the world. Should be numero uno!

Barcelona wakiingia uwanjani kwa kumbukumbu ya kuandamishwa na Chelsea msimu uliopita huku asilimia 75 ya washabiki wa soka wakiamini kuwa Barca wanapatiwa upendeleo dhahiri toka kwa UEFA wanataka kudhihirisha kuwa wana uwezo.
lakini swali je uwezo huo wanao kweli?
Tulishuhudia msimu uliopita Refa akiharibu pambano la Milan na Barca kwa kuamuru ipigwe penati kabla ya kona kupigwa hivyo Deadball ikazaa Deadball kitu ambacho hata kwenye Rugby hakipo.

AC Milan is the best! Nobody stands in the way
when they're playing
their best game.
They have also won the second most champions
league cups in history, behind only Real Madrid, but
they got a head start with five in a row at the beginning.

Barca wanatarajiwa kuwa Na:
Vardes, Alves, Alba, Puyol, Pique, Busquet, Xavi, Iniesta, Nesi, Pedro.
Huku ikiaminika kuwa kikosi chao kinaweza kunogeshwa zaidi na waamuzi watakaochezesha.

The best footbal team in the world, ''il
club più titolato al mondo'' this italian team is the
best! The player like Van Basten, Ibrahimovich and
kakà are a lot famous The Most Successful Club In
The World!
I forgot how I fell to Milan, cause since I know football, Milan is the only one in my heart... Only Red
and Black, Rossoneri, Il Diavolo Rosso...

wakiwa na mwanasoka eti bora wa Dunia Barca wamepewa nafasi kubwa na makampuni ya kuchezesha kamali Duniani kuwa eti wataibuka na ushindi...let us wait and see...

In the
last 25 years AC Milan has won more UEFA
Champions League of all other clubs. milan is the
succesful football club on earth.. milan plays attractively, nothing I can say. milan is
just the best ever.
Milan wanatarajiwa kuwa na:
Abiati, Abate, zapata, Mexes, Constant, Ambrosini, Boateng, Montolivo, Nocerino, El Shaarawy, Pazini...

the Sagga Continua...

Hili swala haliitaji elimu ya juu kaka. Labda uje ubishi wa kitoto tu.

Sent via EyePhone
 
Gang Chomba,piga sarakasi uwezavyo na kanzu yako but mind the underwear you forgot to wear,kipigo cha 3-1 kipo pale pale.Gang Chomba hata mgangamale vipi,chombo kwenda mrama ni lazima!mark my words!

Kie kie kie sarakasi na kanzu??? Duh

Sent via EyePhone
 
Kwa tunaobet leo ngoma ngumu!! Hata bookmakers wameweka big odds kwa Barca 7/5 kushinda.. Hii inamaanisha game ni ngumu sana.

Sent via EyePhone
 
Gang Chomba,piga sarakasi uwezavyo na kanzu yako but mind the underwear you forgot to wear,kipigo cha 3-1 kipo pale pale.Gang Chomba hata mgangamale vipi,chombo kwenda mrama ni lazima!mark my words!

Hata abinuke vipi ila Milan hachomoki leo.
 
Ac milan 1-Barca 4,am bettin

Hilo 1 ulilowapa Milan amefunga nani, sijaona Mchezaj wa Milan ambae anaeza akawafunga Barca leo. Ila kwa kuwa Bahati ipo ktk soka lolote laweza tokea.
 
Back
Top Bottom