Charles1990
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 249
- 46
Jaribu zain mimi nimenunua bandle ya 400mb kwa shs 2500 ya mwezi. kwa matumizi ya cmu 400mb ni nyingi mno. speed ni ya kawaida.
Whaaaaaaaaaaat!!!Sijawahi kusikia hii kabisa.Hizo mb400 zinakaa muda gani??Nikinunua line mpya nikiweka leo leo kitaeleweka?Nashukuru sana kwa msaada wako Dedii.
Aaaa kaka, mbona iyo ya zamani sana. Inakaa mwezi na ikiisha unajaza tu. Just send the word INTERNET to 15444
Kuhusu speed inategemea kama unapata EDGE, GPRS or 3G. Ila hii ndo TZ bwana bado tupo slow, uvumilivu tu
Wakuu vipi kuhusu Zantel maana ilikuwa nafuu mwanzani ila nina uhakika sasa maana sipo Bongo
Mi sijasikia kabisa hii!Vodacom wameshakula sana buku mbili zangu halafu wananipa eti mb50 tuuu!Haimalizi hata wiki 2(hapo nimejibana sana)Sasa ndio ninaihama vodacom kama ifuatavyo.....
Nashuruku sanaaaaa!Kwa hiyo nikiandika tu INTERNET inatosha?Siongezi neno kuashiria kama ni ya wiki,siku au mwezi?
hauongezi chochote, ivo ivo tu.
ZAIN KWA CM NI BOMBA MNO. UKITAKA UNAPATA HATA MB 20 kwa shs 500. mi huwa ctumii hata 10mb kwa cku. it worthy the money try it.
ZAIN KWA CM NI BOMBA MNO. UKITAKA UNAPATA HATA MB 20 kwa shs 500. mi huwa ctumii hata 10mb kwa cku. it worthy the money try it.