Lithuania yawataka wanaotumia simu za kichina kuzitupa

Vita za kibiashara na uchumi.... Hawana lolote la maana......
Kuna Giants wapo nyuma ya hili.....
Na hapa Giants wanacho ogopa ni China kuwa "The Hub of Technology"
Wacha warushiane mangumi tu sisi huku tupo tunaupiga mwingi na bibi yetu mwenye jicho lake legevu....
Jamaa umenichekesha hatari
 
Ni hatari sana kwa nchi, wewe unajifikiria wewe kama wewe ila hawa wanadukua wananchi wote, na sio China tu hata hizo nchi za magharibi zinadukua.

Just imagine China ama Usa sasa hivi anajua kuna mashoga wangapi, wadada wangapi wanaotaka kuongeza makalio, viongozi gani ni wala rushwa, Weakness za matajiri na kila siri zetu kama Taifa, kinachofuatia hapo nini? Kama sio kutawaliwa?
Unahis taarifa hii ni ya kweli
 
Unapokuwa pioneer inamaana tech ni yako, hivyo watu wanaotumia Tech yako inabidi wakulipe. Kama Huawei ni pioneer wa 5G anawauzia kina nani? Na nani anaemlipa Huawei ama Ku license kwake?
Qualcomm anamuuzia nani? Teknolojia ya 5g inatumika kwenye vifaa kama simu, dongles n.k, kama unakumbuka Huawei ndo ya kwanza kutoa kifaa kinachotumia 5g.
 
Qualcomm anamuuzia nani? Teknolojia ya 5g inatumika kwenye vifaa kama simu, dongles n.k, kama unakumbuka Huawei ndo ya kwanza kutoa kifaa kinachotumia 5g.
Qualcomm anauzia karibia watu wote, akiwemo huyo Huawei.

Na sasa hivi Huawei amepigwa pini asitoe simu za 5G. Iweje mvumbuzi akatazwe asitumie technology yake?

Msiamini propaganda za media sana. Huawei anauza infrastructure za 5G bei rahisi haimaanishi yeye ndio Kazi gundua ama ndio wa kwanza kuzianzisha, linapokuja suala la gunduzi na Tech Muhimu za 5G bado yupo Nyuma ya Qualcomm, Nokia na Ericsson, Hao watatu ndio karibia Kila Kampuni inawalipa.

For comparison 2015 mpaka 2020 wakati Huawei anatangaza amepata 1.4 Billion usd kwenye royalities, wakati Qualcomm anapata 7.2B usd ndani ya mwaka tu, hivyo anachopata Huawei ndani ya miaka 5 Qualcomm miezi kama 2 anakipata, tena Modem tu. Hivyo hakuna Hata Comparison karibia Oem wote wanamlipa Qualcomm hata wanaotumia Kirin na Mediatek.
 
Marekani anataka aaminishe watu kuwa ni tech giant, sawa Qualcomm wanakimbiza hilo halina ubishi. Wangewaacha huawei waendelee na 5g angefukia kampuni zote za marekani, kumbuka sababu ya Foxconn kufunga kiwanda marekani.
Future ya teknolojia ipo nje ya marekani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom