Literally, viongozi wa manispaa ya Ilala hawatumii akili

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,074
42,339
Imethibitika kwamba kichaa hajitambui kuwa yeye ni kichaa, na hata ukimueleza kwamba yeye ni kichaa atabisha, infact atakuona wewe ndiye unakichaa. Hivi umewahi kuona manispaa gani hapa duniani inatumia pesa mabilioni kwa mabilioni kujenga barabara bila kuweka mitaro ya maji ya mvua?!

Tena wakijua kabisa kuwa mvua zikinyesha maji yatakosa pa kwenda na kuharibu barabara hiyo! Matokeo yake ni barabara zenye madimbwi na matope ya vinyesi vya pilipili especially maeneo ya kariakoo. Kwa wale ambao wameshawahi kuona na uchizi wa namna hii sehemu nyingine duniani watujuze!

USHAURI: Viongozi wote WA manispaa ya ilala wakapimwe akili kabla ya kuendelea na majukumu yao.
 
Hasa pale mtaa wa lumumba.
 
Ni kwamba hawatumii akili au wanajua huo ni mrija??? Mitaro ikiwekwa mrija si utakata????
 
Back
Top Bottom