donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #21
Swadakta mkuuHii imekaa poa.
Kujua kuchagua maneno ya kusema na pia wapi kuyasemea ni muhumu haswaa.
Kwenye uhusiano wowote ule.
Ndiyo sifa ya kuwa mwanadiplomasia hiyo.
Hapo uhusiano unanawiri.
Kumwacha mchumba kwasababu tu anaharufu si sawa sana. Hasahasa kama hujamwelekeza kwa lolote.
*cleanvaginamatters
Daah mkuu umetisha aiseeTumia mbinu za KISIASA kumwambia,
Mfano,
Kalunde mpenzi wangu wewe ni mwanamke wa ndoto ya maisha yangu,
Wewe ndiye niliyekuwa nikiomba kila siku kwa mungu anipe mwamamke mwenye sifa nzuri na za kuvutia kama za kwako,
Nakupenda na ninaahidi nitakuwa na wewe kwenye shida na raha,
But,
Hakuna aliye mkamilifu kila mtu anamapungufu yake, na ninamshukuru mungu mapungufu yako wewe ni madogo na yanatibika,
Kunaharufu huwa naisikia ukeni mwakoindi tuwapo faragha, nina nia njema ya kukusaidia, je ulishawahi kupata matibabu ya aina yeyote?
Jifunze siasa mkuu.
Ndio mkuuApo inawezekana ni kau gonjwa.. Mana wanaume ndo huwa wanaziharibu izi nyapu.. Kabla ya zinakuwa poa tyuy.. Ila Mara huku Mara iki.. Ila issue ya hospital tyu mkuu... Nenda naye... Jifany kumwambia apende kufany check up ya urinisis.. Atakutana huko na dawa yake
hahaha na kwako pia saluteHahah.. much respect mkuu
Sawa mkuu, ila id yako,inanifanya niwaze command promptMwambie tu unapenda harufu ya udi ule wa kuogea/kufukiza so utamletea aanze kutumia
SawaKama huwez kumwambia kaa kimya