mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,266
Hiyo hesabu hapo nmetoka bila kuelewa mkuuIlembula lutheran church1912-1922
Miaka 110
Hesabu zimekupita kushotoIlembula lutheran church ⛪ 1912-1922
Miaka 110
Unalijua ndugu auSafi
Sawa mkuu ahsante kwa taarifaHesabu zimekupita kushoto
Nimerekebisha mkuuHiyo hesabu hapo nmetoka bila kuelewa mkuu
Sogea mbele hapa Wangama uchukue Lita tano zingine.Mkuu karibu hapa Kijiji Cha KORINTO tunywe ulanzi
Near by ilembula lutheran hospital. NjombeNi wapi huko?
Mkoa gani?
Nipo kanamalenga sijapotea njiaSogea mbele hapa Wangama uchukue Lita tano zingine.