Kila mtu atafikiwa

Kila mtu atafikiwa

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,379
Reaction score
2,085
Ni suala la muda tu. Mi5 tena
 

Attachments

  • Screenshot_20261116_080256_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20261116_080256_Instagram Lite.jpg
    247.9 KB · Views: 8
Ni suala la muda tu. Mi5 tena
Ada ya kujisanili ni shilingi ngapi na watakuwa wanalipa ushuru Kila mwaka bei gani? Nakumbuka walishawahi kutambuliwa kuwa wao ni viwanda Sasa kwa nini kiwanda kisilipe ushuru?
 
Tumerudi kwenye enzi ambapo wamiliki wa baiskeli walikuwa wanalipishwa ushuru unaoitwa KIPANDE. Enzi hizo ole wako ukutane na askari mgambo ukiwa na baiskeli haina kipande!
 
Tumerudi kwenye enzi ambapo wamiliki wa baiskeli walikuwa wanalipishwa ushuru unaoitwa KIPANDE. Enzi hizo ole wako ukutane na askari mgambo ukiwa na baiskeli haina kipande!
Ilikiwaga shilingi ishirini tu. Nilikuwa nashuhudia mtu anashuka kwa baiskeri anakimbia nayo kwa miguu akimkimbia mgambo. Hali hii usiombe kabisa unatembea unaona mtu mzima anakimbia mgambo akiwa nyuma yake nakumbuka siku moja nami niliunga mbaya sana pasipokujua ni nini kinaendelea kumbe mtu mzima anamkimbia mgambo tokea siku hiyo nikiona vazi la mgambo nasisimka sana.
 
Back
Top Bottom