makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,143
- 81,017
Tuanze mupiga vitu chukuchuku tu.
Haya mambo yana faida na hasara. Uaghari wa mafuta ya kula watu wameshawishika kula chukuchuku. Miaka ijayo dawa za kutibu kusukari na magonjwa ya moyo soko lake litapungua sana.Ninyi watu wa serikali mlio kwenye nafasi za Kuregulate hizi Bei za kipuuzi, mnafanya Nini huko maofisini
Pathetic
Aaaaratcfaajavafajkanagrtyjn
Nguvu kazi ilio lala ikinyanuka kwa jembe la mkono tofauti hiyo inafidiwa bila shaka. Serikali inafumbia macho vijana wanashinda kwenye kamari na umachinga badala ya kufanya shughuli za uzalishaji.Tz inazalisha Mafuta 205,000 tonnes kwa mwaka,mahitaji kwa mwaka Ni 570,000 tonnes.
Na bado unaamini huo upungufu wa Mafuta suluhisho lake litakua Ni mwananchi mmoja mmoja kupiga jembe la mkono kulima alizeti
Na ukiitwa motivational speaker unamaindi.
Tafuta hela mkuuSawa na 5,800/- yakiwa Singida. Muanzisha Uzi amenunua kwa 37,000/- kwa lita 5, sawa na 7,400/- kwa lita. Wewe hayo uliyoyanunua Singida ukiyauza Dar itakuwa shilingi ngapi!? Fikiria usafiri na faida...
To me, wewe na muanzisha uzi yale yale tu, YAANI WOTE MANJI GA NYANJA... Umejihisi burudani lakini hujapiga hesabu. NI KUJIPA IMANI TU
Yaani sijui tu hii hali, 3 weeks ago nikinunua 29, today more than 5000 imeongezekaNinyi watu wa serikali mlio kwenye nafasi za Kuregulate hizi Bei za kipuuzi, mnafanya Nini huko maofisini
Pathetic
Aaaaratcfaajavafajkanagrtyjn
Tunakwenda kwenye 50,000/-Sasa hivi imefika 43'000/= sijui tunakwenda wapi
Matatizo yakuangalia Wasafi TV,Clouds TV,Maisha Magic muda wote vijana hamjui mambo ya duniani,Acha kutudanganya basi hata sisi tunajua kusoma Na kuandika.
Na bei ya ngano? Spaggeti je?
Ya alizeti nayo si mazuri piaHata mafuta ya Alizeti yamepanda pia, mimi huwa natumia hayo.
Kuna unuhimu wa kuanza lima alizeti..Nasisitiza hiki kipindi kifupi ambacho mafuta ya kula yamepanda watu
Nafikiri umesahau kuwa nchi yetu kuna wakulima na wafanyakazi. Wote tukienda kulima alizeti, nani atafanya hizo kazi za mfanyakazi? Naungana na wanaosema kuna mahali mamlaka zetu zimezembea.Jamani hemu tuache kulalamika kwenye kila jambo,
Ni kweli kwasasa kuna inflation,kwenye baadhi ya idara kama ujenzi kunahitaji suluhu ya serikali,mfano kama tatizo ni kodi basi wapunguze kodi ama kama si kodi basi waruhusu bidhaa za nje ambozo kama bei ya bidhaa kutoka nje ni za chini vitaleta ushindani kwenye viwanda vya ndani,hakuna sababu yakulinda viwanda vya ndani wakati wananchi wanaumia.
Kwenye mafuta ya kula ni fursa kwetu,nenda shamba kalime alizeti,wakati wewe unalalamika wenzako wanapiga pesa,watanzania tuache ujinga,kilimo cha alizeti risk ni ndogo sio kama kulima mahindi,alizeti haina matatizo ya kuliwa na wadudu,alizeti haihitaji mvua nyingi hivyo inaendana na haya mabadiliko ya tabia nchi.
Huwezi mwambia raia kwamba kama unaona bei ya nondo ni kubwa jenga kiwanda chako,hapa utakuwa unamtusi kwani ujenzi wa kiwanda cha nondo hataweza na ndio sababu yakuitaka serikali itafute suluhu lakini kwenye mafuta ya kula ni ujinga kulalamika wakati ni fursa kwetu.
Wacha kulalamika nenda shamba kalime alizeti.
Kuna watu nikiwemo Mimi, tunakushangaa vitu unavyoongea! Hivi hujui kuwa hata iweje hao vijana lazima wawepo. Sana sana watabadili style ya kuishi. Na style hiyo inaweza kuwa hatari zaidi kwa jamii.Nasisitiza kwenye issue ya mafuta ya kula naomba Mungu bei ipande zaidi ili akili zenu zikae sawa.
Vijana wa dar mmezoea kuzurula mitaani na vibegi mgongoni ambavyo haviina kitu ndani na pesa hakuna mfukoni mnasahau vijijini kwenu.
Yaani tutamkumbuka, yeye mwenyewe aliwahi kusema "amna kitu kigumu kama uongozi ndugu zangu"Mama Nchi isha mshinda, Kesha zidiwa kete na Wafanyabiashara Ma Papa!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mimi niko singida ambako pia ni moja ya sehemu wanalima alizeti amna biashara na kilimo hard kwa hapa kama hichi yaani huyu meru mwenyewe usipo kaa sawa anakunyoosha maana yeye ndiyo don wa mafuta singida ana export nje wakati bongo kuna huhitaji.Shida wote mkikimbilia huko mafuta yanakuwa mengi hadi litre inauzwa buku huku uzalishaji wake ni buku 5
Supply imekuwa ndogoKwahio unataka kutuaminisha kuwa demand imekuwa kubwa?
🤣🤣🤣 Hapo kwenye jasho balaaMimi niko singida ambako pia ni moja ya sehemu wanalima alizeti amna biashara na kilimo hard kwa hapa kama hichi yaani huyu meru mwenyewe usipo kaa sawa anakunyoosha maana yeye ndiyo don wa mafuta singida ana export nje wakati bongo kuna huhitaji.
Mchanganuo wa alizeti na biashara yake mpaka upate mafuta uuze jasho la mku... litakutoka sana, pia meru anatoa kwa wakulima.
Tafuta kote nilipokoment halafu urudi kusoma jibu lako.Matatizo yakuangalia Wasafi TV,Clouds TV,Maisha Magic muda wote vijana hamjui mambo ya duniani,
Ukraine na Urusi wanazalisha ngano kwa takribani 20% ya mahitaji ya ngano Duniani,uzalishaji kwenye hizi nchi kwasasa hakuna kwasababu ya vita
Hata ngano tunayotumia nchini kwa % fulani tulitegemea kutoka Ukraine na Urusi nchi ambazo kwa Sasa hakuna uzalishaji ndio chanzo cha ongezeko la bei kwenye ngano.Elewa kwenye bei ya ngano lazima itaathiri nchi nyingi kutokana na hii vita.
Nasisitiza ni kweli tuna tatizo la inflation nchini na ni kweli serikali inatakiwa inyooshewe kidole lakini sio kwenye bidhaa zote.Haya mambo kuyaelewa ni magumu kidogo ndio maana mayowe yamekuwa mengi.
Nawashauri vijana msitizame channel za burudani mkasahau channel za habari kama CNN,BBC,Sky News hii itapunguza maswali mepesi kama haya.
Matatizo yakuangalia Wasafi TV,Clouds TV,Maisha Magic muda wote vijana hamjui mambo ya duniani,
Ukraine na Urusi wanazalisha ngano kwa takribani 20% ya mahitaji ya ngano Duniani,uzalishaji kwenye hizi nchi kwasasa hakuna kwasababu ya vita
Hata ngano tunayotumia nchini kwa % fulani tulitegemea kutoka Ukraine na Urusi nchi ambazo kwa Sasa hakuna uzalishaji ndio chanzo cha ongezeko la bei kwenye ngano.Elewa kwenye bei ya ngano lazima itaathiri nchi nyingi kutokana na hii vita.
Nasisitiza ni kweli tuna tatizo la inflation nchini na ni kweli serikali inatakiwa inyooshewe kidole lakini sio kwenye bidhaa zote.Haya mambo kuyaelewa ni magumu kidogo ndio maana mayowe yamekuwa mengi.
Nawashauri vijana msitizame channel za burudani mkasahau channel za habari kama CNN,BBC,Sky News hii itapunguza maswali mepesi kama haya.
Hivi ukiwa mwajiriwa haiwezekani/umekatazwa kulima?Hujawahi ona waajiriwa wanaojishughulisha na kilimo?Kama aina ya wanafunzi ndio kama wewe Kuna umuhimu mkubwa walimu kuongezwa mishahara.Nafikiri umesahau kuwa nchi yetu kuna wakulima na wafanyakazi. Wote tukienda kulima alizeti, nani atafanya hizo kazi za mfanyakazi? Naungana na wanaosema kuna mahali mamlaka zetu zimezembea.