M Manmura JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 750 Reaction score 169 Nov 8, 2013 #81 Hawa sio kama ccm kuwa wazo moja kama mazuzu
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,544 Reaction score 139,869 Nov 8, 2013 #82 utaifakwanza said: cc mods wote wa jukwaa la siasa, kwa hatua zenu Click to expand... Nape anakukaza,Haya mwambie mod
utaifakwanza said: cc mods wote wa jukwaa la siasa, kwa hatua zenu Click to expand... Nape anakukaza,Haya mwambie mod
M Manmura JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 750 Reaction score 169 Nov 8, 2013 #83 Hawa sio kama ccm kuwa na wazo moja kama mazuzu
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,690 Nov 8, 2013 #84 Kitila Mkumbo said: Kutofautiana ni mtifuano? Nani amekwamba CHADEMA ni synagogue? Click to expand... Mkuu, Pole kwa changamoto za hivi karibuni. Usife moyo lakini, ndio maisha ya siasa hayo. Simamia palepale, uko kwenye right path...
Kitila Mkumbo said: Kutofautiana ni mtifuano? Nani amekwamba CHADEMA ni synagogue? Click to expand... Mkuu, Pole kwa changamoto za hivi karibuni. Usife moyo lakini, ndio maisha ya siasa hayo. Simamia palepale, uko kwenye right path...
Najijua JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 1,040 Reaction score 182 Nov 8, 2013 #85 Safi sana maana hawajeta unafiki km mi cccm ambao mkubwa / kiongozi kwao akishasena wengine wote ndiooooooo
Safi sana maana hawajeta unafiki km mi cccm ambao mkubwa / kiongozi kwao akishasena wengine wote ndiooooooo
Van persie JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,099 Reaction score 720 Nov 8, 2013 #86 Na hii nayo habari!!!Chadema ni chama kinachojari demokrasia,Kwa hiyo kutofautiana Kwa hoja sio dhambi wala haimanishi mtifuano ndani ya Chama.Chadema haiyumbishwi na hizo pity politics za maccm.
Na hii nayo habari!!!Chadema ni chama kinachojari demokrasia,Kwa hiyo kutofautiana Kwa hoja sio dhambi wala haimanishi mtifuano ndani ya Chama.Chadema haiyumbishwi na hizo pity politics za maccm.
P pamba boy JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 252 Reaction score 392 Nov 8, 2013 #87 utaifakwanza said: chadema ni malaghai matupu Click to expand... Hata kama ni chuki umezidisha,BADILIKA,WATAKUSHANGAA.
utaifakwanza said: chadema ni malaghai matupu Click to expand... Hata kama ni chuki umezidisha,BADILIKA,WATAKUSHANGAA.