Listi ya watu wenye IQ kubwa zaidi duniani

IQ yako ni kubwa sana mkuu

Hilo huwezi kulijua wewe
Thanks, I hope IQ is meant as a shortcut to some intangible quality, not a concrete indicator.

I take IQ claims with a grain of salt and a lot of caveats.

I am with the writer Jared Diamond (Pulitzer prize non-fiction 1998) on this, in his book "Guns, Germs and Steel: The Fate of Human Societies" he critiques the IQ gospel.
See here

https://www.brainpickings.org/2015/09/10/jared-diamond-guns-germs-and-steel-risk/

The IQ tests on which technologically advanced societies like our own do better than technologically primitive societies like aboriginal cultures — results on which many racist claims are predicated — actually measure cultural learning rather than innate cognitive ability. He writes:

"My perspective on this controversy comes from 33 years of working with New Guineans in their own intact societies. From the very beginning of my work with New Guineans, they impressed me as being on the average more intelligent, more alert, more expressive, and more interested in things and people around them than the average European or American is. At some tasks that one might reasonably suppose to reflect aspects of brain function, such as the ability to form a mental map of unfamiliar surroundings, they appear considerably more adept than Westerners. Of course, New Guineans tend to perform poorly at tasks that Westerners have been trained to perform since childhood and that New Guineans have not. Hence when unschooled New Guineans from remote villages visit towns, they look stupid to Westerners. Conversely, I am constantly aware of how stupid I look to New Guineans when I’m with them in the jungle, displaying my incompetence at simple tasks (such as following a jungle trail or erecting a shelter) at which New Guineans have been trained since childhood and I have not."
 
akili sio kuweza masomo ya darasani...huyo einstein na uharibifu wake wa hydrogen bombs unaita akili!!?..ni kipaji tu kama cha riadha na mpira,generally huwezi sema akili ni nini?

Umeandika maneno machache lakini yana maana kubwa sana,nilitoa humu sifa za mtu mwenye akili,hawa wanashindwa kutofautisha akili timamu na kipaji.

Sasa unakuta mtu ni mgunduzi lakini hajui jema lipi na baya sasa hawa ni wenda wazimu.
 
Nadhani,Ghadafi,Nyerere,Kwa Nkrumah,Mugabe,Mandela,Walter Rodney,Prof Muhongo,Che Nkapa,Steve Bicco,Solomon Mahlangu,nk wana IQ kubwa sana kuliko hao,sema wazungu huwa hawaapreciate weusi
 
IQ kubwa sasa ni kompyuta maana inaweza kufanya kazi kubwa kuliko wanadamu.

•miaka 1900 wanasayansi wengi walijua nyota yetu kuna sayari 10 kutokana na mifumo ya hisabati kuweza kutambua.
tokea kompyuta kuanza mfumo huo sasa nyota yetu ina sayari 200 sikosei mpaka sasa zimegunduliwa.
•swala la kisayansi na teknolojia kuanzia elimu,kazi za kiofisi kompyuta imekuwa ikileta mapinduzi makubwa kufanya kazi kwa wakati mmoja
mfano inaweza kuchambua mishahara kwa sekunde,kujibu maswali aka google kwa selunde na n.k

hitimisho kompyuta ndio yenye IQ kubwa sasa
Swali dogo tu kwako.

Kama computer ina IQ kubwa, vipi alieitengeneza hiyo computer na mifumo yake?
 
Hahaha, kila Kiranga ana Kiranga wake, mimi mwenyewe nadesa tu hapo.
We jamaa ni moja kati ya watu wenye akili kubwa sana niliopata kuwafahamu. Arguments zako za JF zimenijenga sana. Imefikia hatua kuna watu wananishangaa, eti i'm super intelligent!

Hua nacheka, then najisemea "hamjui tu, kuna mtu anaitwa Kiranga"

Kudos mkuu Kiranga!
 
We jamaa ni moja kati ya watu wenye IQ kubwa sana. Arguments zako za JF zimenijenga sana. Imefikia hatua kuna watu wananishangaa, eti i'm super intelligent!

Hua nacheka, then najisemea "hamjui tu, kuna mtu anaitwa Kiranga"

Kudos mkuu Kiranga!
Asante sana. Nashukuru na nafurahi sana kusikia hivyo.

Moja ya njia nzuri kupima mafanikio ya mtu ni kuangalia watu wengine wangapi wamefanikiwa kupitia yeye.

Na kama itakuwa umeweza kufanikiwa kwa namna fulani, kupitia kwangu, hata mimi najisikia kufanikiwa kwa kufanikiwa kwako.

One.
 
Kipimo cha IQ ni njia pekee inayoaminiwa kupima uwezo wa akili za mtu ambapo kwa kawaida binadamu wengi wana IQ ya kuanzia 90 mpaka 110 lakini watu wachache sana wana IQ level ya kuanzia 140 na kuendelea. Leo nimekuletea hii list ya watu kumi wanaoaminikia kuwa na akili hadi kufikia mwaka 2017.

1: Terrence Tao

Ni mwanahisabati kutoka Marekani ambaye anakadiriwa kuwa na IQ level ya 230. Terence Tao aliweza kufanya hisabati akiwa na miaka 2 na alipokuwa na miaka 7 aliweza kufanya hesabu ngumu za level ya Chuo Kikuu akiwa na miaka 20 alipata PhD. Mwaka 2006 alishinda medali ya Field na mwaka 2014 alipata tuzo ya Breakthrough prize in mathematics.

[http://dxzccmtp98vpc]

2: Christopher Hirata

Ni Mnajimu aliyebobea katika mambo ya anga ambapo kwa sasa anafanya kazi katika Shirika la Mambo ya Anga la Marekani ‘NASA’. Anatajwa kuwa na IQ level ya 225 ambapo akiwa na miaka 13 alipata tuzo ya Mwanahisabati Bora wa Dunia na kuweza kupata PhD akiwa na umri wa miaka 22.

[http://dxzccmtp98vpc]

3: Kim-Um -Young

Anachukua namba 3 kati ya watu wenye akili duniani akiwa na IQ level 210 ambapo mwaka 1990 Kim Ung–yong alishika rekodi ya Dunia ya Guiness kwa kuwa na IQ kubwa. Alipokuwa na na miezi 6 tu Kim Ung-Yong alikuwa anajua kuongea na alipofikisha miaka 3 aliweza kuongea Kijapan, Kikorea, Kiingereza na Kijerumani.

[http://dxzccmtp98vpc]

4: Rick Rosner

Watu wengi hawakuamini baada ya Rick Rosner kugundulika kuwa na IQ level ya 192 kwa kuwa kazi alizokuwa anazifanya hazikuendana na akili yake. Kabla ya kuwa mwandishi wa kipindi cha Jimmy Kimmel Rick Rosner alikuwa dansa wa club za usiku, model na waiter.

[http://dxzccmtp98vpc]

5: Garry Kasaporov

Garry ana IQ level ya 192 na ameweka rekodi ya Mchezaji Bora wa Chess Duniani kwa sasa anajihusisha na siasa kwa kiasi kikubwa ambapo alitaka kugombea Urais wa Urusi dhidi wa Raisi wa sasa Vladmir Putin.

[http://dxzccmtp98vpc]

6: Galileo Galilei

Licha ya kuwa mwanasayansi mkubwa aligundua mambo mbalimbali ya Anga , Hisabati na Fizikia. Galileo ameshika namba 6 kati ya watu wenye akili duniani akiwa na IQ level ya 185. Hadi kufikia mwaka 2017 Mwanasayansi huyu hajatoka kwenye top ten na anajulikana zaidi kwa ugunduzi wake wa umbo la dunia.

[http://dxzccmtp98vpc]

7: James Woods

Ni mcheza filamu kutoka Marekani ambaye ameshinda tuzo mbalimbali za Academy na anatajwa kuwa na IQ level ya 180. Akiwa na umri mdogo Jamaes alikuwa anaweza kufanya hesabu ngumu licha ya uwezo wake wa mambo ya Sayansi Garry aliamua kuwa mcheza sinema.

[http://dxzccmtp98vpc]

8: Judit Polger

Ni mwanamke pekee kwenye list hii hadi kufikia mwaka 2017. Judith anatajwa kuwa na IQ level ya 170 akiwa na miaka 15 tu aliweza kumshinda mshindi wa dunia kwenye mchezo wa chess.[http://dxzccmtp98vpc]

9: Sir Endrew Willes

Ni mwanahisabati na mkufunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Marekani ambapo anatajwa kuwa na IQ level ya 170. Andrew Wiles aliweza kukokotoa hesabu ngumu zaidi duniani zinazoitwa Fermat’s Last Theorem na mwaka 2016 alishinda tuzo ya Abel Prize.

[http://dxzccmtp98vpc]

10: Albert Einstein

Ukitaja jina la Eistein untakuwa unamaansiha “Genious” ambapo mwanafizikia huyu ameweza kujijengea jina kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya Sayansi na mambo ya Anga. Einstein anatajwa kuwa na IQ level ya 160

Bila kusahau na mimi mwenyewe

Source:-Mtandaoni
Aaaaaaa
Endrew Chenge (nyoka wa makengeza) mbona umemsahau?
 
Asante sana. Nashukuru na nafurahi sana kusikia hivyo.

Moja ya njia nzuri kupima mafanikio ya mtu ni kuangalia watu wengine wangapi wamefanikiwa kupitia yeye.

Na kama itakuwa umeweza kufanikiwa kwa namna fulani, kupitia kwangu, hata mimi najisikia kufanikiwa kwa kufanikiwa kwako.

One.
Peace man!

You're regularly irregular, right on the left or left on the right.

Keep inspiring!

 
Nina wasiwasi na hii... Einstein ambaye ni wa kumi kafanya mambo mengi sana ambayo yanaonekana.
 
Back
Top Bottom