Listi ya watu wenye IQ kubwa zaidi duniani

Si kweli hawa watafiti walipota lini kule kijijini BUSERESERE? au huo utafiti waliufanyia huko marekani tu

Kuna wakati tusikurupike watu na vitongoji vyao huko marekani na ulaya wakifanya tafiti zao sisi tuufyate tu mana zinawahusu wao wenyewe
 
Kipimo cha IQ ni njia pekee inayoaminiwa kupima uwezo wa akili za mtu ambapo kwa kawaida binadamu wengi wana IQ ya kuanzia 90 mpaka 110 lakini watu wachache sana wana IQ level ya kuanzia 140 na kuendelea. Leo nimekuletea hii list ya watu kumi wanaoaminikia kuwa na akili hadi kufikia mwaka 2017.

1: Terrence Tao

Ni mwanahisabati kutoka Marekani ambaye anakadiriwa kuwa na IQ level ya 230. Terence Tao aliweza kufanya hisabati akiwa na miaka 2 na alipokuwa na miaka 7 aliweza kufanya hesabu ngumu za level ya Chuo Kikuu akiwa na miaka 20 alipata PhD. Mwaka 2006 alishinda medali ya Field na mwaka 2014 alipata tuzo ya Breakthrough prize in mathematics.

[http://dxzccmtp98vpc]

2: Christopher Hirata

Ni Mnajimu aliyebobea katika mambo ya anga ambapo kwa sasa anafanya kazi katika Shirika la Mambo ya Anga la Marekani ‘NASA’. Anatajwa kuwa na IQ level ya 225 ambapo akiwa na miaka 13 alipata tuzo ya Mwanahisabati Bora wa Dunia na kuweza kupata PhD akiwa na umri wa miaka 22.

[http://dxzccmtp98vpc]

3: Kim-Um -Young

Anachukua namba 3 kati ya watu wenye akili duniani akiwa na IQ level 210 ambapo mwaka 1990 Kim Ung–yong alishika rekodi ya Dunia ya Guiness kwa kuwa na IQ kubwa. Alipokuwa na na miezi 6 tu Kim Ung-Yong alikuwa anajua kuongea na alipofikisha miaka 3 aliweza kuongea Kijapan, Kikorea, Kiingereza na Kijerumani.

[http://dxzccmtp98vpc]

4: Rick Rosner

Watu wengi hawakuamini baada ya Rick Rosner kugundulika kuwa na IQ level ya 192 kwa kuwa kazi alizokuwa anazifanya hazikuendana na akili yake. Kabla ya kuwa mwandishi wa kipindi cha Jimmy Kimmel Rick Rosner alikuwa dansa wa club za usiku, model na waiter.

[http://dxzccmtp98vpc]

5: Garry Kasaporov

Garry ana IQ level ya 192 na ameweka rekodi ya Mchezaji Bora wa Chess Duniani kwa sasa anajihusisha na siasa kwa kiasi kikubwa ambapo alitaka kugombea Urais wa Urusi dhidi wa Raisi wa sasa Vladmir Putin.

[http://dxzccmtp98vpc]

6: Galileo Galilei

Licha ya kuwa mwanasayansi mkubwa aligundua mambo mbalimbali ya Anga , Hisabati na Fizikia. Galileo ameshika namba 6 kati ya watu wenye akili duniani akiwa na IQ level ya 185. Hadi kufikia mwaka 2017 Mwanasayansi huyu hajatoka kwenye top ten na anajulikana zaidi kwa ugunduzi wake wa umbo la dunia.

[http://dxzccmtp98vpc]

7: James Woods

Ni mcheza filamu kutoka Marekani ambaye ameshinda tuzo mbalimbali za Academy na anatajwa kuwa na IQ level ya 180. Akiwa na umri mdogo Jamaes alikuwa anaweza kufanya hesabu ngumu licha ya uwezo wake wa mambo ya Sayansi Garry aliamua kuwa mcheza sinema.

[http://dxzccmtp98vpc]

8: Judit Polger

Ni mwanamke pekee kwenye list hii hadi kufikia mwaka 2017. Judith anatajwa kuwa na IQ level ya 170 akiwa na miaka 15 tu aliweza kumshinda mshindi wa dunia kwenye mchezo wa chess.[http://dxzccmtp98vpc]

9: Sir Endrew Willes

Ni mwanahisabati na mkufunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Marekani ambapo anatajwa kuwa na IQ level ya 170. Andrew Wiles aliweza kukokotoa hesabu ngumu zaidi duniani zinazoitwa Fermat’s Last Theorem na mwaka 2016 alishinda tuzo ya Abel Prize.

[http://dxzccmtp98vpc]

10: Albert Einstein

Ukitaja jina la Eistein untakuwa unamaansiha “Genious” ambapo mwanafizikia huyu ameweza kujijengea jina kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya Sayansi na mambo ya Anga. Einstein anatajwa kuwa na IQ level ya 160

Bila kusahau na mimi mwenyewe

Source:-Mtandaoni

mwenye IQ WA KWANZA DUNIANI NI MTUME MOHAMMED (swa) NA MASAHABA ZAKE NA MITUME WENGINE WOTE NA BABA YANGU NA MAMA YANGU MIMI NDIO NINAO WAJUA
 
Kwenye hiyo list Mimi simo hujanitendea haki mleta mada.Siitambui hiyo list
 
Kuna siku nlifikiri sana hichi kitu

since matter and energy zinaweza ku inter change each other , hii inamaanisha kwamba it is possible to transport each and everythin in the universe as electromagnetic wave, ila sasa kuconvert matter into energy it needs to be accerelated to attain the speed of light . This is the main difficultness of this new technology , kama sisi wanasayansi tutaweza ku achieve hii technology

Basi the world is going to be very sophticated !

#miongon mwa scientist wachache wanao believe existence ya Sir God

.... Tesla am back

Cc: Kiranga
 
Leo umekula cha wapi Tesla?

Umechokoza madude, madude utapata.

Godel's incompleteness theorems would check all your ambitions at some esoteric material anhilitation and trapeze art escapism on a universal scale, for the foreseeable future at least.

https://plato.stanford.edu/entries/goedel-incompleteness/

But eventually, if the heat death of the universe theory is correct, in a time scale that is humanly incomprehensible (10^100 years it is estimated) for all matter, including matter trapped in black holes, will eventually evaporate.

https://medium.com/starts-with-a-bang/how-do-black-holes-evaporate-5463dbda6832

https://en.wikipedia.org/wiki/Heat_death_of_the_universe

There used to be a time when it was thought that matter trapped in black holes is irredeemably unrecoverable to the rest of the universe, until the quantum characteristics of Heisenberg's Uncertainty principle, particularly to do with virtual particles and quantum entanglement drove us to Hawking Radiation, which suggests that, eventually, even black holes will evaporate.

https://en.wikipedia.org/wiki/Hawking_radiation
 
akili sio kuweza masomo ya darasani...huyo einstein na uharibifu wake wa hydrogen bombs unaita akili!!?..ni kipaji tu kama cha riadha na mpira,generally huwezi sema akili ni nini?

Acha kujishebedua Einstein ni habari nyingine,alafu jua ni formula aliyogundua Einstein ndiyo iliyotumika kutengeneza bomu hilo kupitia wanasayansi wengine
 
Leo umekula cha wapi Tesla?

Umechokoza madude, madude utapata.

Godel's incompleteness theorems would check all your ambitions at some esoteric material anhilitation and trapeze art escapism on a universal scale, for the foreseeable future at least.

https://plato.stanford.edu/entries/goedel-incompleteness/

But eventually, if the heat death of the universe theory is correct, in a time scale that is humanly incomprehensible (10^100 years it is estimated) for all matter, including matter trapped in black holes, will eventually evaporate.

https://medium.com/starts-with-a-bang/how-do-black-holes-evaporate-5463dbda6832

https://en.wikipedia.org/wiki/Heat_death_of_the_universe

There used to be a time when it was thought that matter trapped in black holes is irredeemably unrecoverable to the rest of the universe, until the quantum characteristics of Heisenberg's Uncertainty principle, particularly to do with virtual particles and quantum entanglement drove us to Hawking Radiation, which suggests that, eventually, even black holes will evaporate.

https://en.wikipedia.org/wiki/Hawking_radiation
Teh ...
 
Umechokoza madude, madude umepata.

Umeyaelewa lakini?
First incompleteness theorem
Any consistent formal system F within which a certain amount of elementary arithmetic can be carried out is incomplete; i.e., there are statements of the language of F which can neither be proved nor disproved in F.


Second incompleteness theorem
For any consistent system F within which a certain amount of elementary arithmetic can be carried out, the consistency of F cannot be proved in F itself.

Mkuu mi hayo mambo siyapendi hata kidogo
 
Back
Top Bottom