Tatizo ni la hawa jamaa wa TTCL na hiyo broadband yao. Wakati wanaintroduce service hiyo ilikwua na bei ya chini sana ambayo ilionekana kuwa ni nafuu, ilipoanza kupata soko, wamepandisha utadhani wanauza uhai

Kweli kabisa mkuu, lakini upandaji wa hawa ndugu zetu hauna formular. Kulipaswa kuwepo na rate inayoeleweka katika matimuzi lakini, mimi naitumia sana na sijajua rate hiyo kwa sababu kila siku fedha inaliwa kivyake
lakini kwa nini hii huduma kwa bongo ni ghali sana,mimi natumia broadband nalipia kama tsh 25,000/ kwa mwezi na ni unlimited time nafanyakila nitakacho.,je tunaweza kupata sababu za kitaalamu kuhusu hizi gharama kwa bongo.