List yangu ya Stand-Up Comedians ninaowakubali zaidi

Bernie Mac ni Marehemu, Mungu amlaze pema.

Dave hata mimi najitahidi sana kumuelewa lakini kwa mbinde sana, ila cha ajabu kwa kule US Jamaa wanamuelewa sana...huwaambii kitu kuhusu Dave...Mimi namuelewa sana Chris Rock, lakini fanya utafiti kule US Chris anakuja nyuma ya Dave.

Pia wapo kina Bill cosby, Eddy Griffin n.k..
bernie mac nlimjua na kumkubali kwenye movie ya FRIDAY aliigiza kama pastor. May he rest in eternal peace
 
Habari za muda huu wakuu. Natumai mu wazima. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa Stand up comedy hasa Tanzania,Kenya na baadhi ya mataifa kama Nigeria na pia marekani.
Hawa ndio 5 bora kwangu
1: Trevor Noah- South Africa/USA
2: Patrick salavdo - Uganda
3: Sleepy David - Kenya
4: Profesor Hammo - Kenya
5: Daliso Chaponda - Malawi/ England

Honorable mentions:
Erick Omondi
YY- Kenya
Basketmouth- Nigeria
Michael Che
Deogratius - Cheka tu Tanzania

Who are your favourite stand up comedians??
1. Dave Chappelle USA
2. Bill Burr USA
3. Kevin Hart USA
4. George Carlin USA
5. Rowan Atkinson UK
 
Tuko pamoja kiongozi. Sithubutu kupitwa na Churchill Show!
mimi since nimejua kuna youtube sijawahi acha fatilia churchill show toka kipindi erick omondi bado yuko pale. yaani chipukeezy,butita,hammo,othuol othuol,consumater,yy,sleepy,ayeiyaa{rip}, mca tricky,mammito,jemutai,sammie kioko,mc jessy, na wengine wooote nimeangalia video zao hadi nimekariri maneno na bado i find them very funny. Mimi ndoto yangu ni kujipanga na kujichanga one day nikakae pale VIP mbele kabisa nishuhudie live recording. inshort najua kwenye watanzania watano wanaoifuiatilia churchill show kinagaubaga mimi ni mmoja wao. IM A PROUD CHURCHILL SHOW FAN mpaka sasa inabidi nisiwe fan niwe AIR CONDITIONER.
 
1. Dave Chappelle USA
2. Bill Burr USA
3. Kevin Hart USA
4. George Carlin USA
5. Rowan Atkinson UK
Dave chappele na kevin hart ni my favourites. Rowan atkinson namkubali zaidi kwenye comedy movies hasa zile za Johhny english na Mr bean holiday
 
mimi since nimejua kuna youtube sijawahi acha fatilia churchill show toka kipindi erick omondi bado yuko pale. yaani chipukeezy,butita,hammo,othuol othuol,consumater,yy,sleepy,ayeiyaa{rip}, mca tricky,mammito,jemutai,sammie kioko,mc jessy, na wengine wooote nimeangalia video zao hadi nimekariri maneno na bado i find them very funny. Mimi ndoto yangu ni kujipanga na kujichanga one day nikakae pale VIP mbele kabisa nishuhudie live recording. inshort najua kwenye watanzania watano wanaoifuiatilia churchill show kinagaubaga mimi ni mmoja wao. IM A PROUD CHURCHILL SHOW FAN mpaka sasa inabidi nisiwe fan niwe AIR CONDITIONER.
Hahahah dah

Jenutai ananimalizaga na energizer yake kwa kibuyu...
 
1. Dave Chappele huyu hana mshindani aisee Jamaa ni fundi sana.
2.YY kenya
3.Deogaratious cheka Tu
4.
YY ni miongoni mwa the greats hapa east africa sema ni underated sana yaani watu hawamchukulii kwa uzito na ukubwa wa kipaji chake kabisa. Nikitaja tano bora pale churchill show YY simuachi aiseeh
 
1. kelvin heart
2. eric omondi
3. yy comedian
4. Dogo pepe
5. mimi
😂😂😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom